ITV mbona mnawaziba watu midomo kwenye mdahalo?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,835
Kuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza
Achani watu watoe maoni yao, hata kama unayaona ni potofu ni maoni yake
 
hilo libonge nyanya halina akili
 
Back
Top Bottom