Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema atafuatilia kujua kilichotokea kuhusu mpango uliopendekezwa wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote (Dangote Oil Refinery) mjini Tanga...
0 Reactions
3 Replies
117 Views
Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari...
12 Reactions
43 Replies
715 Views
▪️Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri...
0 Reactions
1 Replies
39 Views
28 September 2026 Muscat, Oman Oman na Tanzania waangazia fursa zaidi za ushirikiano wa kiuchumi Muscat: Mkutano wa kwanza wa mashauriano ya pande mbili kati ya Usultani wa Oman na...
0 Reactions
1 Replies
44 Views
Balozi Mindi Kasiga afungua Kongamano la Kumuenzi Dkt Salim: Asisitiza Vijana kutatua Migogoro kwa njia za Kidiplomasia. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Habari Wana JF. Naomba kusema jambo Moja la muhimu sana. Watu wengi wanadhani kuitoa CCM madarakani ni jambo la kawaida sana, la kuamka asubuhi tu na kuiamgusha CCM , la hasha. CCM ni ngumu...
5 Reactions
27 Replies
279 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam (mbele ya Mheshimiwa Jaji D.D. Ndumbaro), imetoa hukumu tarehe 29 Septemba 2026 katika Rufaa ya Jinai Namba 000029293 ya mwaka 2025. Sativa...
9 Reactions
32 Replies
1K Views
  • Redirect
Kwa masikitiko makubwa naomboleza kifo cha mfanyabiashara wa Zimbabwe, Bw. Wicknell Chivayo, mke wake mpendwa pamoja na watu wengine watatu waliopoteza maisha kwa huzuni katika ajali ya helikopta...
1 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu...
3 Reactions
60 Replies
721 Views
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Nanei Kokan State, mwenye umri wa miaka 30 na mkazi wa Kijiji cha Parakuyo, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati...
1 Reactions
19 Replies
495 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kuhusu...
2 Reactions
2 Replies
140 Views
  • Featured
Wakati sisi tukimfungulia kesi za Uhaini mataifa ya Ulaya yanathamini mchango wake. Kati ya viongozi mashuhuri Duniani waliopata tuzo hii ni pamoja na Nelson Mandela, Malala Yousafzai, Nadia...
44 Reactions
123 Replies
2K Views
Wakuu tusiogope kifo ….. kifo ni sheria ya asili na wala tusisheherekee kifo cha mtu maana wote sisi ni wapitaji …. It is just a matter of Time Nimekumbuka before kifo cha JPM wale watu wa...
33 Reactions
61 Replies
2K Views
Katika historia ya nchi nyingi duniani, tatizo kubwa zaidi la vyombo vya usalama halijawahi kuwa ukosefu wa uwezo, ni swali la uwajibikaji, Yaani vinawajibika kwa nani. Hatari ni Pale inapokuwa...
0 Reactions
11 Replies
124 Views
Mtifuano umeibuka katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter...
0 Reactions
6 Replies
245 Views
  • Closed
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian, Emmaus Mwamakula, amemjibu Paul Makonda, akidai kuwa kauli zake za kulitaka Kanisa kuacha “kunyooshea kidole” Serikali zinaonesha kutolijua vizuri Kanisa na...
35 Reactions
101 Replies
2K Views
Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro wamepata ajalı katıka eneo la Cooperatıve, mpakanı mwa Wilaya za Sına na Hai, wakıwa njıanı kwenda kuchukua mahabusu katika Gereza la Karanga...
4 Reactions
25 Replies
583 Views
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere...
3 Reactions
21 Replies
336 Views
  • Featured
Mahakama Kuu kupitia kwa Jaji Dunstan Ndunguru imekataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kuwaita baadhi ya mashahidi wa utetezi katika Kesi ya Uhaini Na. 19605/2025, ikieleza kuwa ushahidi wao...
21 Reactions
186 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…