Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Umofia wana JF. Nimeona nitoe maoni ya Mada ambayo imeleta taharuki ingawa kwa wengine waliipotezea tangu kuanza Mchakato wake. Nimeona watu wakiongea sana kuhusu ripoti ya Judge Chande kuwa ina...
3 Reactions
2 Replies
143 Views
Wakuu Benki ya Dunia imefuta mkopo wa dola milioni 150 ambao benki hiyo ulikuwa umeipa Tanzania kwa ajili ya kufadhili mradi wa REGROW, ambao ulikuwa na lengo la kupanua Hifadhi ya Taifa ya Ruaha...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Wanabodi Kesho ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Habari Leo tumefanya mjadala kuujadili Uhuru wa habari Tanzania na manguli Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, TEF, Deodatus Balile, Mwenyekiti wa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari za muda huu wakuu, Kuna taarifa rasmi imetolewa leo (Mei 2, 2026) kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ikieleza ujio wa Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame. Kwa mujibu...
2 Reactions
7 Replies
332 Views
Leo umetimia mwaka mmoja tangu Mdude Nyagali avamiwe nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao walimjeruhi na kisha walimteka na kuondoka nae mpaka leo hatujui wamempeleka wapi. Mpaka sasa...
3 Reactions
4 Replies
180 Views
Tundu Lissu is the only one in the politics game, who'll walk away from politics with his hands clean. TAL =Integrity.
4 Reactions
3 Replies
132 Views
Kuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jela (polepole September 14 Jumatatu saa 3 usiku na dakika 20) Dalili zunaonesha muda sio mrefu hili litatimia kuanzia kwenye kelele...
1 Reactions
6 Replies
226 Views
Sugu amesema hakutaka Chalamila apande kwenye steji kwa sababu hakutaka mambo ya kisiasi yaendelee na ilikuwa ni show ya muziki tu! Hii alichofanya Sugu ni kizuri sana maana Chalamila angeleta...
13 Reactions
20 Replies
679 Views
Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa...
3 Reactions
3 Replies
151 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe Jumapili ya Leo Wanabodi, msituone Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Tanzania, kama ni waoga waoga, na vyombo vya habari vya Tanzania...
13 Reactions
28 Replies
868 Views
Ukurasa wa The Economist imeeleza namna Watanzania walikuwa na matumaini kuwa Samia Suluhu Hassan angeingiza jamii iliyo wazi zaidi. Sasa utawala wake wenye ukandamizaji unahatarisha mafanikio ya...
6 Reactions
9 Replies
282 Views
M-hali gani? Kumekuwa na sintofahamu baada ya mwanadada huyu mlimbewende kutumbuliwa, hebu tujuzane iwe onyo au usikute kongole kwa vijana wengine viongozi. Pia soma Dkt. Evaline Munisi ateuliwa...
2 Reactions
1 Replies
190 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
5 Reactions
20 Replies
809 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540 Hili ni Swali: Media tukiendelea...
14 Reactions
27 Replies
696 Views
Wanabodi Leo ni Siku ya Kimataifa ya kuadhimisha Uhuru wa Habari. Kwa Tanzania, maadhimisho rasmi yanafanyikia jijini Mwanza, katika kuadhimisha siku hii kwa Tanzania tunaadhimisha nini haswa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Viongozi wa vyama 13 vya upinzani nchini wamesisitiza msimamo wao wa kutokukubaliana na baadhi ya wananchi, wanasiasa, wadau wa masuala ya haki na wanaharakati nchini kutaka iundwe tume huru...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Maafisa Biashara wa Halmashauri wakija kwenye eneo la Biashara au Uzalishaji hawana msaada wowote kwenye biashara kama vile kukusaidia maboresho ya mazingira ya kazi, masoko na namna nzuri ya...
1 Reactions
5 Replies
200 Views
1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu. 2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa...
0 Reactions
29 Replies
698 Views
Kamati ya Bunge Yashauri Serikali Kukamilisha Ujenzi wa Ofisi za TAKUKURU Dodoma – Kamati ya Bunge imeitaka Serikali kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
4 Reactions
5 Replies
198 Views
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema hayo Mei 2, 2026 wakati akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani za Siasa kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Back
Top Bottom