Kongamano la CHASO latikisa Dar es Salaam

Ama kwa hakika CHADEMA inatisha, Leo hii ukumbi wa Landmark Hotel umetapika wasomi kwenye kongamano la. Chaso kiasi cha kuhatarisha hata usalama wa wahudhuriaji

Ama kweli Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko Pamba.
Screenshot_20260424-212537~2.png
 
Ama kwa hakika CHADEMA inatisha, Leo hii ukumbi wa Landmark Hotel umetapika wasomi kwenye kongamano la. Chaso kiasi cha kuhatarisha hata usalama wa wahudhuriaji

Ama kweli Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko Pamba.
Acha propaganda limetikisa Dar ipi?
 
Enzi tuko chuo kipindi hicho siasa hazijavurugwa sana, kulikuwa kuna raha yake kwenye mambo kama haya.
 
Ama kwa hakika CHADEMA inatisha, Leo hii ukumbi wa Landmark Hotel umetapika wasomi kwenye kongamano la. Chaso kiasi cha kuhatarisha hata usalama wa wahudhuriaji

Ama kweli Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko Pamba.
Ama hata zaidi ya uji wa mgonjwa mahututi!
 
Back
Top Bottom