Ukweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili...
Shuhuda za kuthibisha Matendo makuu ya Mungu zinaendelea kutolewa
MR CAP mfanyabiashara wa Ilala, alipewa Kazi ya kutengeneza kofia za ccm kwa ajili ya kampeni za CHAMA hicho 2015, aliyempa Kazi...
Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa
Mdude Nyagali
Deusdedith Soka
Chaula
Na wengine wameuawa tayari
Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini...
Wanabodi,
Japo dunia nzima inafahamika nchi kuendeshwa kwa mihilimili mitatu ya The Executives, The Legislature and The Judiciary, si wengi wanaotambua kuwa kuna mhilimili wa nne, The Media...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa, bado linaendelea kumsubiri Ndg. Humphrey Polepole aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai.
Ndg...
Kwa sasa hatupokei tena habari motomoto au headline ambazo zilikuwa zina heat, waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa waoga kupitiliza kisa kuambiwa "UCHOCHEZI" hata maana halisi ya neno...
Wanabodi,
Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Star TV, ambapo mwandishi Mkongwe, Deo Masakilija, amealikwa.
Dotto Bulendu ameanza kwa hoja 'Je media imetimiza...
Wanabodi,
Yule Mwandishi Julian Asange wa WikiLeaks, ametiwa nguvuni nchini Uingereza kwa kutakiwa na Marekani, sasa sisi Tanzania, tujifunze kwa kitachompata, tukitumie kama shamba darasa la...
Wanabodi,
Kama kawaida ya Jumamosi asubuhi, Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, leo, chini ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wachangiaji ni Moses Mathew na Mansoor.
Kipindi...
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani...
Wanabodi,
Vyombo rasmi vya habari vya Tanzania, vimelaumiwa kuwa havitimizi wajibu wake wa kuwahabarisha Watanzania, kutokana na Waandishi wa habari kukabiliwa na njaa kali kufuatia kulipwa...
Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake.
Pascal Mayalla anasema...
Takriban mwezi mmoja umepita nilinunua umeme wa Shiling 50,000 kwa kutuia APP ya simbanking.
Nilisubiri kutumiwa token zangu za Luku akini sikuzipata. Kesho yake niliwapigia sim Tanesco...
Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.
Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa...
Ndugu zangu,
" Maisha yetu huanza kuisha siku tunapoanza kunyamaza kwenye mambo yenye maana"- Martin Luther King Jr.
Leo Mei 3 ni Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani. Hapa Afrika...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Mwananchi la leo.
Wiki iliyopita, mwandishi wa makala hizi, alifanya kosa moja, akaliombea msamaha, lakini bado aliadhibiwa kwa adhabu mbili tofauti...
Wanabodi,
wale wenye access angalieni Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa live na Star TV, kila siku za Jumamosi asubuhi, leo Mtangazaji Mahiri, Leonard Mapuli yuko na...
Jana nilipokwenda kuhudhuria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.
Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…
Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria...
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso.
Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo…
Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria...
Kwamba watu wanatekwa
Tanzania hii ambayo hatujawahi kushuhudia haya mambo. Labda Rwand na Burundi na Uganda ya Amini.
Inatisha na kama Taifa rais aingilie kati.