Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,467
- 113,553
Wanabodi,
Kama kawaida ya Jumamosi asubuhi, Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, leo, chini ya nguli Dotto Emmanuel Bulendu, wachangiaji ni Moses Mathew na Mansoor.
Kipindi kimeiponda media ya Tanzania kuwa vina uwezo duni wa kufanya uchambuzi wa kina, yaani, news analysis, kazi kubwa media ya Tanzania inayofanya ni kuhabarisha tuu jamii kuhusu matukio, lakini hakuna media zinazofanya news analysis kupitia kitu kinachoitwa interpretative journalism, kuwaeleza wasomaji, watazamaji na wasikilizaji kufanya evaluation ya hizo habari zina maana gani kwa taifa letu.
Wakatolea mfano mabadiliko ya baraza la mawaziri, yaliyofanyika hivi karibuni, media zote zimeishia kuhabarisha tuu fulani na fulani wameteuliwa, lakini hakuna media iliyofanya any news analysis, kuwaeleza Watanzania, what does that mean.
Endelea kufuatilia.
Paskali