CCM inashiriki Uchaguzi kwenye vitongoji vyote, Vijiji vyote, Mitaa yote, Kata zote na Majimbo yote nchini, huwezi kuking'oa madarakani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Huo ndio Ukweli hakuna cha wizi wa kura wala nini

Vyama vya Upinzani hata kuweka Wagombea nusu tu ya Majmbo yote nchini hawawezi halafu wanatamba eti bila Polisi ndio wataishinda CCM

Upinzani uko Zanzibar huku Tanganyika tuendelee tu kudanganyana.ila bado saaana!
 
Wewe utakuwa unaishi mjini na unasikiliza Radio Lumumba peke yake. Kama hayo ni kweli basi CCM wasingekuwa wanarukwa na akili kila uchaguzi ukikaribia. Kwa sasa hakuna kijiji, mtaa wala Kitongoji ambacho hakina wanachama wa Chadema .... That's the FACT, wewe unajua, Tanzania inajua na Dunia inajua.

Sababu ya kila Rais akiingia madarakani kubadilisha Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume na Wakurungezi wote wa Wilaya ni uchakachuaji wa kura. Pamoja na mafanikio ya Mahera kwenye Uchafuzi wa 2020, Sitashangaa maza akichagua Mahera wake mwingine ......!!
 
Wenzao wanajua wapiga kura wao wote wasipowaona vituoni wanawafata majumbani na kuwapeleka vituoni wakapige kura wao wanawapiga kura wa mitandaoni na ulalamishi wa kuibiwa kura.
 
Wewe utakuwa unaishi mjini na unasikiliza Radio Lumumba peke yake. Kama hayo ni kweli basi CCM wasingekuwa wanarukwa na akili kila uchaguzi ukikaribia. Kwa sasa hakuna kijiji, mtaa wala Kitongoji ambacho hakina wanachama wa Chadema .... That's the FACT, wewe unajua, Tanzania inajua na Dunia inajua.

Sababu ya kila Rais akiingia madarakani kubadilisha Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume na Wakurungezi wote wa Wilaya ni uchakachuaji wa kura. Pamoja na mafanikio ya Mahera kwenye Uchafuzi wa 2020, Sitashangaa maza akichagua Mahera wake mwingine ......!!
Chadema iko mijini tu
 
Huo ndio Ukweli hakuna cha wizi wa kura wala nini

Vyama vya Upinzani hata kuweka Wagombea nusu tu ya Majmbo yote nchini hawawezi halafu wanatamba eti bila Polisi ndio wataishinda CCM

Upinzani uko Zanzibar huku Tanganyika tuendelee tu kudanganyana.ila bado saaana!

Kwani Kuna mabadiliko ya sera popote?

"Nikuteue, nikupe gari, nyumba, marupurupu, mshahara nk, halafu umtangaze mpinzani kushinda, si ni sera rasmi ya chama fulani madarakani?"
 
Huo ndio Ukweli hakuna cha wizi wa kura wala nini

Vyama vya Upinzani hata kuweka Wagombea nusu tu ya Majmbo yote nchini hawawezi halafu wanatamba eti bila Polisi ndio wataishinda CCM

Upinzani uko Zanzibar huku Tanganyika tuendelee tu kudanganyana.ila bado saaana!
Kuna wakati huwa unakuwa na akili nzuri sana.

Mada kama hii, pamoja na kwamba huna uwezo wa kuijengea hoja, lakini ni nani anaweza kupingana nawe?

Ni mada ambayo kila mara tunawapigia kelele akina CHADEMA wajitahidi angalau kuiga mfano wake, lakini ni kama hawana habari kabisa nayo.

Lakini CCM wangetumia umakini kama wanavyofanya kwenye mambo kama haya ya kujijengea mizizi , halafu wakafanya mema kwa taifa hili, ni nani angehangaika tena na hao wapinzani wasiokuwa na msisimko wowote?

Tatizo ni CCM wanafanya juhudi zote hizi ili waendeleze maslahi yao na siyo maslahi ya nchi.
 
Huo ndio Ukweli hakuna cha wizi wa kura wala nini

Vyama vya Upinzani hata kuweka Wagombea nusu tu ya Majmbo yote nchini hawawezi halafu wanatamba eti bila Polisi ndio wataishinda CCM

Upinzani uko Zanzibar huku Tanganyika tuendelee tu kudanganyana.ila bado saaana!
Inashiriki hayo kwa kodi zetu na tozo! Itafikia wananchi wataamua kufuatilia matumizi sahihi ya Kodi Yao na tozo wanazotozwa.
Hata ZANU-PF, KANU vyama dola vingine navyo vilikuwa na uwezo na Mamlaka ya kushiriki na kushinda kwa lazima chaguzi kuanzia kitongoji hadi Taifa. Lakini ikawaje?
 
Back
Top Bottom