George Sanga na wenzake watimiza miaka 2 Gerezani kwa kesi ya uongo ya kubambikwa kwa sababu za uchaguzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,580
217,963
Diwani wa Zamani wa Njombe kupitia Chadema , George Sanga na wenzake leo anatimiza miaka 2 kamili Jela , kwa makosa ya uongo ya Mauaji aliyobambikiwa na watawala wa awamu ya 5 , ili kumkomoa kwa kuwa mwanachama wa Chadema na kumzuia kugombea uchaguzi wa 2020 ili Mgombea wa ccm apite bila kupingwa .

Sanga alikamatwa September 26 /2020 na ile serikali ya vitisho iliyokosa hoja na kutegemea utekaji na kusweka rumande hadi leo hii , ambapo kesi yake hiyo ya uongo inaendelea kupigwa danadana .

Nachukua nafasi hii kuwaomba viongozi wa Chadema Makao Makuu kuvunja Majadiliano ya Maridhiano haraka sana ikiwa Wanachama wake wanaendelea kusoteshwa Gerezani kwa kesi za Uongo , Marehemu wote waliouawa kwa sababu za kuwa kwao chadema , WAMEKUFA KISHUJAA na Mungu awapokee na awape Pumziko jema la milele , Amina

Namuomba Mwenyezi Mungu kuwajaalia nguvu , Afya njema na uvumilivu WanaChadema wote waliobambikwa kesi za uongo kwa sababu za Uchaguzi wa 2020 .
 
.
giphy.gif
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Hao vijana wapuuzi sana! Huyo Sanga si alikamatwa baada ya kupatikana ushahidi eneo la tukio huko kwao na mwili wa marehemu ulipatikana umetupwa kando ya mto na inasemekana alipigiwa simu na huyo diwani na baadae akapotea mpaka alipopatika akiwa maiti!
CHADEMA acheni kuingilia kazi ya jeshi la polisi hajalishi ni awamu gani ya 5 au ya 6 uharifu lazima udhibitiwe!
Nyinyi mkishajiona ni wakamirifu hamuwezi kutenda dhambi! Mnazunhumzia awamu ya tano vipi awamu hii kipi kimebadilika tofauti na Makengeza wenu kulambishwa asali!

Mnaongea pumba tupu. Kama issue ni awamu ya 5 basi mbona hii awamu ya 6 haijafuta kesi?
 
Hao vijana wapuuzi sana! Huyo Sanga si alikamatwa baada ya kupatikana ushahidi eneo la tukio huko kwao na mwili wa marehemu ulipatikana umetupwa kando ya mto na inasemekana alipigiwa simu na huyo diwani na baadae akapotea mpaka alipopatika akiwa maiti!
CHADEMA acheni kuingilia kazi ya jeshi la polisi hajalishi ni awamu gani ya 5 au ya 6 uharifu lazima udhibitiwe!
Nyinyi mkishajiona ni wakamirifu hamuwezi kutenda dhambi! Mnazunhumzia awamu ya tano vipi awamu hii kipi kimebadilika tofauti na Makengeza wenu kulambishwa asali!
Kuna vitu mnajitoaga akili kesi ya mbowe ilivokua inaanza si mlikua mnasema mna ushahidi tosha, haya kuna mbunge wa ccm nahisi shinyanga alikamatwa na silaha nyingi tu lakini kesi yake iliyeyuka tu na naamini yupo uraiani
 
Hao vijana wapuuzi sana! Huyo Sanga si alikamatwa baada ya kupatikana ushahidi eneo la tukio huko kwao na mwili wa marehemu ulipatikana umetupwa kando ya mto na inasemekana alipigiwa simu na huyo diwani na baadae akapotea mpaka alipopatika akiwa maiti!
CHADEMA acheni kuingilia kazi ya jeshi la polisi hajalishi ni awamu gani ya 5 au ya 6 uharifu lazima udhibitiwe!
Nyinyi mkishajiona ni wakamirifu hamuwezi kutenda dhambi! Mnazunhumzia awamu ya tano vipi awamu hii kipi kimebadilika tofauti na Makengeza wenu kulambishwa asali!
Vipi yule mwenye kiti wa CCM mkoa wa Mara aliyepiga watu risasi kwenye mkutano wa Heche wakati wa uchaguzi 2020 na kuua watu wa 3 na kujeruhi wwngine 4 alikamatwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom