Twaha Mwaipaya kuunguruma Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,690
218,196
Kesho%20Julai%2011%2C%202022%20saa%20nne%20asubuhi%20Mratibu%20wa%20Uhamasishaji%20%40bavicha_...jpg

Hii ni Kesho tarehe 11/07/2022 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizoko Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia Saa 4 Asubuhi .

Mwaipaya ambaye ni Kiongozi wa Uhamasishaji wa Bavicha anatarajiwa kukata mzizi wa fitna kuhusu kutekwa kwake na bila shaka ataweka wazi wale wote waliokuwa nyuma ya mpango huo na Malengo yao .

Wote Mnakaribishwa
 
View attachment 2286617

Safi sana chama langu
 
Back
Top Bottom