Hayati Magufuli aliwabana matajiri watu mkadai anawaonea, Dr Mwigullu anatoza Tozo watu mnadai anawaonea sijui Watanzania mnatakaje yani?

Labda ipigwe kura tujue watanzania wanataka serikali iwe inatoa wapi Fedha za kujiendesha na zile za Maendeleo

Haiwezekani tulalamike katika kila Jambo Jamanii

Wakitozwa matajiri mnasema Shujaa ni katili mkiambiwa basi lipeni nyie Tozo mnaanza kulialia eti mnaonewa
Kwa nini wasiuze yale mavieitee VXR wapate hela za kujenga madarasa?
 
Watu zaidi a m50 hawawezi kufanana kuwa uwafurahishe wote. Kundi moja likufurahi lingine nilalamika.
 
Ujenzi wa madrasa ni endelevu

1977 nilichangia Ujenzi wa madrasa na 2022 nachangia pia
Kichangia sio tatizo, kodi pia tunalipa ila tatizo ndio baadhi ya matumizi kama ununuzi huo wa ma vx .
Unafikiria gharama ya hayo ma vx, mabenzi,
Gharama zake kama zingenunuliwa Gari za kawaida fedha nyingi ingeokolewa na kwenda kugharamia mambo mengine ya maendeleo
 
Kwa nini waziuze yale mavieitee VXR wapate hela za kujenga madarasa?
Kwakweli haya magari ya kifahari yapigwe bei asiyetaka Vanguard,defender au cruiser mkonge akae pembeni.

Tuishi kwa kuakisi hali zetu za uchumi.
 
Labda ipigwe kura tujue watanzania wanataka serikali iwe inatoa wapi Fedha za kujiendesha na zile za Maendeleo

Haiwezekani tulalamike katika kila Jambo Jamanii

Wakitozwa matajiri mnasema Shujaa ni katili mkiambiwa basi lipeni nyie Tozo mnaanza kulialia eti mnaonewa
Kwa nini tulipe tozo wakati tuliaminishwa kuwa nchi yetu ni tajiri na ina uwezo wa kuwafadhili mabwanyenye wa Magharibi na mpaka tumewasamehe wale Jamaa matrilioni kwa sababu tunazo. Kwani utajiri wetu umehodhiwa wapi mpaka tunaoitwa wanyonge tuendelee kunyongwa kwa tozo?
 
Labda ipigwe kura tujue watanzania wanataka serikali iwe inatoa wapi Fedha za kujiendesha na zile za Maendeleo

Haiwezekani tulalamike katika kila Jambo Jamanii

Wakitozwa matajiri mnasema Shujaa ni katili mkiambiwa basi lipeni nyie Tozo mnaanza kulialia eti mnaonewa
Duh !
 
Back
Top Bottom