Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wilaya ya Magu iliyopo Mkoani Mwanza leo trh 02/10/2022 inafanya uchaguzi wake wa kuwapata viongozi wa CCM. Kama ilivyo desturi ya ccm, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndg Zabron amepewa muda wa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (MB), kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni kiongozi bora na si bora kiongozi na ndio maana...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza uchaguzi ndani ya chama cha Mapinduzi hakuna aliyepita bila kupingwa wala fomu kupotea. Kwanza Mwenyekiti amefanikiwa kuvunja nguvu ya mitandao ndani ya chama alipima na...
4 Reactions
7 Replies
850 Views
Kuwatetea Panyaroad kwamba wasiuawe na Wananchi wenye hasira kali ni Jambo jema kwani ndio Utawala wa Sheria Lakini Chadema kutokana na ukubwa wake ingejikita zaidi kwenye mijadala wa Mfumuko wa...
3 Reactions
12 Replies
779 Views
Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la jamii ya wamasai katika kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati yao na serikali ya Tanzania. Ardhi iko katika Serengeti maarufu. Walalamikaji wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigullu alitoa agizo bungeni kwamba baada ya Tozo kufutwa na kupunguzwa viongozi wote watatakiwa kubana matumizi na kupunguzwa safari Cha ajabu baada ya agizo Hili Chadema...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura. Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Akitoa ufafanuzi wa uamuzi uliotolewa na EACJ, Wakili Jebra Kambole amesema kesi hiyo ni ya “Uvamizi wa Serikali” unaodaiwa kufanywa mwaka 2017 na haihusiani na ‘Mateso ya Wamasai’ ya Juni 2022...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni. Wananchi hao wameelezea namna...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Waziri Mkuu Asisitiza Uadilifu Ujenzi Mji wa Serikali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema Ili kuondoa malalamiko yanayotolewa dhidi ya matukio ya uhalifu...
1 Reactions
2 Replies
975 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huku wengine saba wakidaiwa kukimbia katika majibizano ya risasi yalitotokea kiwanda cha Daazhong, kilichopo...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam wana jukwaa, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya njema, pia niwashukuru watumishi wote nchini Tanzania kwa kuendelea kujenga Taifa letu bila kujali kadhia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Watumishi hao ni Dkt. Zakayo Kyomo ambaye ni Kaimu Mkuu wa chuo cha VETA, Projestus Kabyemela (Mhasibu), Waziri Shaban Waziri (Mgavi) na Upendo Aidan Nindi (Afisa Ununuzi). Watumishi hao...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Utafiti waanika wapinzani nchini kutochagulika FRIDAY SEPTEMBER 30 2022 [https://www] Summary Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonyesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu...
1 Reactions
10 Replies
822 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Mkutano wa Nne wa Tume ya Kudumu ya pamoja ya Ushirikiano katika msuala ya Ulinzi na Usalama (JPCDS) baina...
1 Reactions
2 Replies
775 Views
Wawekezaji lengo lao ni kupata wala sio kuja kutuletea maendeleo. Ni juu ya nchi yenyewe kuweka sheria na taratibu kuhakikisha uwekezaji wa wageni unanufaisha umma wa wananchi wala sio wawekezaji...
1 Reactions
2 Replies
537 Views
Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu, Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio. Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…