07 October 2022
SIMBACHAWENE: ANATOA TAARIFA MPYA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU NA KUTOA MAAGIZO MUDA HUU KUHUSU SEKTA YA KILIMO NA NISHATI YA UMEME
Source : Manyunyu TV
Akinukuu taarifa za...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ametoa tamko bungeni Septemba 20 2022 na kutangaza rasmi kufuta tozo mbalimbali za miamala ya kielektoniki bila kueleza ni kikao gani cha kisheria...
Makamu wa Rais, Dk. Philip Isdori Mpango amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa umeme wa Gridi ya Taifa katika Mkoa wa Katavi na kuiagiza Wizara ya Nishati kuhakikisha ifikapo 2023...
Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya...
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Uchira, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamekusanyika kulalamikia uongozi wa serikali ya Kijiji hicho, kudaiwa kuuza maeneo ya barabara pasipo kuwashirikisha...
Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72.
Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya.
Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa...
Kuna mambo kusoma kila siku ukiamka binafsi yananikera na nina uhakika kutokana na mfumo wetu hafifu wa kuorodhosha hayo matatizo much is unreported but its pandemic.
To name a few of the issues...
CCM katika uchaguzi wa 2015 walishughulika zaidi na mzee Lowassa kuliko Chadema hata hivyo Lowassa aliwaingizia bungeni Wapinzani ( UKAWA) zaidi ya Wabunge 100 ambayo ni rekodi hadi leo
2020...
Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila.
Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya...
Nimesema siku zote huwa siwaamini wanasiasa. NI mara chache sana mwanasiasa ataongea kitu nimwamini, na siku zote wanasiasa wenyewe wananipa sababu za kusimama katika msimamo wangu wa kutowaamini...
Mwenyekiti wa Bavicha, Kamanda John Pambalu amesema Spika Tulia hana haki ya kuwapangia nini waseme na nini wasiseme.
Pambalu amesema wataendelea kumkosoa Rais wa JMT kwa sababu ni moja ya...
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga...
Pamoja na utendaji mbovu bandarini na malalamiko mengi kuhusu makusanyo ya fedha bandarini na utata wa mkataba wake serikali imeiongezea kampuni hiyo mkataba wa miezi 3 wakati ikiendelea na...
Nimetulia namsikiliza kwa makini Spika Tulia akiwataka vijana wanaosadikiwa ni wa CCM kuwashughulikia wanaowakosoa viongozi wa chama na serikali. Moja kwa moja nikamkumbuka kijana machachari Ben...
Tunaambiwa kuwa mfumuko wa bei (inflation rate) nchini kwetu bado ni mdogo sana, ni chini ya asilimia 5%! Wao wanauita single digit inflation.
Lakini kwa miezi ya hivi karibuni, bei za vyakula...
Ni ushauri tu kwamba Bavicha inahitaji kuwa na mwenyekiti " mjanja" kwa sababu Vijana waliitumainia hapo kitambo
Ni vema basi huu Utamaduni wa akitoka Heche aje Katambi halafu Pambalu kisha...
Siku ya jana katika kuadhimisha siku ya walimu Duniani, nimekutana na jumbe nyingi zinazoonyesha uelewa wa Watanzania juu ya kazi ya utekelezaji wa miradi katika Elimu inayofanywa kwa weledi chini...