Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 2,739
- 5,808
Kuna mambo kusoma kila siku ukiamka binafsi yananikera na nina uhakika kutokana na mfumo wetu hafifu wa kuorodhosha hayo matatizo much is unreported but its pandemic.
To name a few of the issues:
Na viongozi husika wana run kama chicken heads Masauni hana habari ya yanayo endelea huko na Dorothy Gwajima (ambae technically ni msaidizi wake) hana analolijua huko.
Na hiyo vita uwezi shida bila ya media na umafia kidogo wa serikali ambazo mbinu zake ni siri za wazi kwa wenye uelewa wa umuhimu wa propaganda sahihi za vitisho.
Serikali kwa sasa inakabiliwa na matatizo mengi ya kiuchumi inayofanya viongozi wa juu ku focus huko; ila kuna social issues pia kila kukicha kuna matukio ya ukatili wa kutisha pia na hayo ni maswala ya wizara ya mambo ya ndani kwanza kabla ya nyingine.
Waziri nani Masauni inabidi huyu bozo aamshwe kama kalala.
To name a few of the issues:
- Mtoto achinjwa
- Mtoto abakwa
- Fulani auawa kwa wivu wa mapenzi
- Mtu fulani mwenye nafasi ya kuaminika kwenye jamii (mwalimu/mzazi/mwanafamilia/etc) kamlawiti mtoto.
- Watoto wadogo wanaolala mitaani god knows the sexual abuses of those kids.