2015: CCM walimuogopa zaidi Lowassa kuliko walivyoihofia CHADEMA ndio kusema Lowassa ni " mkubwa" kuliko CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,754
141,616
CCM katika uchaguzi wa 2015 walishughulika zaidi na mzee Lowassa kuliko Chadema hata hivyo Lowassa aliwaingizia bungeni Wapinzani ( UKAWA) zaidi ya Wabunge 100 ambayo ni rekodi hadi leo

2020 Tundu Lisu aliingiza Mbunge mmoja tu na wale covid 19

Lowassa alisema Chadema isiposhinda Urais 2015 itawabidi wasubiri zaidi ya miaka 50 kujaribisha tena

Tunakumbushana tu

Jumaa kareem!
 
Back
Top Bottom