Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima. Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya, Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk. Aidha kutakuwa na...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Salam wakuu, Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata...
2 Reactions
2 Replies
546 Views
Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena. Nilikuwa sahihi. Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa...
17 Reactions
78 Replies
5K Views
Wanabodi, Tumeshuhudia vitendo vingi haswa katika bara la Afrika ambavyo kwetu vimekuwa vya kawaida. Vitendo hivi vinaonekana vya ajabu haswa kwa wenzetu ambao wapo bara zingine. Suala hili ni...
3 Reactions
5 Replies
558 Views
Dar es Salaam. Rais wa Kenya, William Ruto kesho ataanza ziara ya siku mbili nchini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza katika nchi ya Afrika Mashariki tangu alipoapishwa Septemba 13, kuwa Rais wa tano...
11 Reactions
60 Replies
9K Views
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kazi zote alizofanya hayati Magufuli zilikuwa na mkono wa Rais Samia Magufuli alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na Makamu wake jikoni ndio sababu miradi...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikuulize swali dogo nchi inaongozwa na Mtu au Katiba? Kaswali kengine, Kwanini nchi za kidikteta huwa hazifuati Katiba? Mtu huchaguliwa ili akasimamie maono ya wale wanaomchagua na siyo maono...
2 Reactions
2 Replies
353 Views
Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mhe Rais amesema hayo baada ya...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Trending in Tanzania now.. Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetoa Takwimu mbalimbali za Tanzania kwa mwaka 2021.. Kwa mujibu wa Takwimu hizo kwenye kipengele cha Pato la Taifa la Kila Mkoa yaani...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania (AG), Dk Eliezer Feleshi amewataka mawakili wa Serikali kujitathimini kama wanaendana na dhima na kujitosheleza kwa nafasi walizopewa. Dk Felishi amesema...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Hivi kuna sheria iliyotungwa na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania katika kulinda miradi mbali mbali iliyoanzishwa na Rais wa awamu...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Mwaka 2004, kulizuka mjadala mkubwa sana miongoni mwa wananchi, baada ya Serikali ya awamu ya tatu, chini ya hayati Rais Benjamin William Mkapa, kufanya maamuzi ya kununua ndege maalumu kwa ajili...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Warioba Mungu akupe afya njema. ---- Butiama. Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi na Watanzania kuendeleza utaratibu wa kiongozi kuondoka madarakani baada ya kumaliza...
23 Reactions
152 Replies
15K Views
Pamoja na mfumo tulionao unazalisha uwakilishi haramu lakini uongozi wa upinzani bado hawajapata kiongozi mwenye dira, utashi, uelewa na tafukari ya kuelewa mbinu na mikakati ya kukiondoa chama...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Hata siku moja huwezi kupendwa na watu wote, hii ndio hulka ya wanadamu, inasikitisha sana kuona sasa Magufuli amekosa kabisa watetezi, wale waliokuwa hawampendi na kumchukia, kwa sasa wanajiachia...
16 Reactions
102 Replies
5K Views
Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi. Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo...
24 Reactions
115 Replies
8K Views
Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Haiwezekani ikatumika Busara kama ile iliyotumika kumaliza Kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili Freeman Mbowe wa Chadema? Sisi tulioshuhudia Kesi ya Uchaguzi ya Kenya tunajisikia aibu sana!
5 Reactions
74 Replies
5K Views
Wakuu habri zenu,- Kwanza naomba msamaha kwenu, nimekosa, nimekosa mimi, nimekosa Sana. Nilikuwa namtetea kwa mengi hapa jamvini huyu mama yatu, Mimi ni pro mama Samia damu. Leo nimeamka...
17 Reactions
85 Replies
5K Views
Tarehe 15/02/2022 Mahakama wilaya ya Kyela, Mbeya ilimpa hukumu Gerald Mwakitalu kifungo cha maisha kwa mashtaka ya kudaiwa kuchoma nyumba ya mgombea wa CCM wakati wa kampeni za uchafuzi 2020...
29 Reactions
67 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…