Rasmi sasa nimelazimika kutomshabikia tena rais Samia kwa hiki kilichonikuta leo

chawa wa mama

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
292
1,083
Wakuu habri zenu,-

Kwanza naomba msamaha kwenu, nimekosa, nimekosa mimi, nimekosa Sana.

Nilikuwa namtetea kwa mengi hapa jamvini huyu mama yatu, Mimi ni pro mama Samia damu.

Leo nimeamka asubuhi kwenye nyumba yangu mpya nakuta umeme umekata, nimehamia hapa wiki mbili tu zimepita. Nikasema ngoja ninunue umeme wa 10,000 ukawa unakataa. Nimejaribu Mara nyingi hatimaye nikawasiliana wa watu wa TANESCO.

Watu wa TANESCO wamenijibu kuwa nadaiwa Kodi ya jengo toka mwezi wa 7 mwaka Jana. Kiasi Kama elfu kumi na ushehe!!!!!! Shwainiiiii!!!! Yaani nyumba nijenge mwezi huu nidaiwe Kodi za mwaka Jana.

Hivi yaani nyie mnatuonaje sisi wananchi, wajinga na hatujielewi au? Hivi mkuu wa nchi ambaye namwimba kuwa kabadilisha nchi hili analijua? Na Kama hajui kwanini? Kweli tuko serious kutenda haki katika kusanya Kodi? Au ubabe tu?

Nimeanza kupoteza Imani kwake, nitakuwa mjinga Kama nashabikia maumivu ya watu wengine na kusifu kihinga kila Jambo, anakosea Sana, hawasimamii vyema watendaji wake.

Pokeni Sana kwa kuwakwaza wote nilikuwa nawatukana kwa kumkosoa mama yetu mpendwa!!!!! Nimekosa Sana Mimi
 
Pole ndugu tuendelee kuijenga nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivyo tu?Wahi "sibitali" we jamaa.Una homa.
 
acha matusi, mfuate aliyekuwekea huyo mita ya LUKU. inawezekana siyo mpya ilikuwa inatumika mahali. ni ya wizi
 
Wakuu habri zenu,-

Kwanza naomba msamaha kwenu, nimekosa, nimekosa mimi, nimekosa Sana.

Nilikuwa namtetea kwa mengi hapa jamvini huyu mama yatu, Mimi ni pro mama Samia damu.

Leo nimeamka asubuhi kwenye nyumba yangu mpya nakuta umeme umekata, nimehamia hapa wiki mbili tu zimepita. Nikasema ngoja ninunue umeme wa 10,000 ukawa unakataa. Nimejaribu Mara nyingi hatimaye nikawasiliana wa watu wa TANESCO.

Watu wa TANESCO wamenijibu kuwa nadaiwa Kodi ya jengo toka mwezi wa 7 mwaka Jana. Kiasi Kama elfu kumi na ushehe!!!!!! Shwainiiiii!!!! Yaani nyumba nijenge mwezi huu nidaiwe Kodi za mwaka Jana.

Hivi yaani nyie mnatuonaje sisi wananchi, wajinga na hatujielewi au? Hivi mkuu wa nchi ambaye namwimba kuwa kabadilisha nchi hili analijua? Na Kama hajui kwanini? Kweli tuko serious kutenda haki katika kusanya Kodi? Au ubabe tu?

Nimeanza kupoteza Imani kwake, nitakuwa mjinga Kama nashabikia maumivu ya watu wengine na kusifu kihinga kila Jambo, anakosea Sana, hawasimamii vyema watendaji wake.

Pokeni Sana kwa kuwakwaza wote nilikuwa nawatukana kwa kumkosoa mama yetu mpendwa!!!!! Nimekosa Sana Mimi
The epitome of selfishness...When they came for them, I did not speak out; I was not one of them. When they came for me, there was no one left to speak for me! Join the club PLO !
 
Back
Top Bottom