Dkt. Mollel: Hayati Magufuli alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na mama Samia. Hawa ni kitu kimoja

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kazi zote alizofanya hayati Magufuli zilikuwa na mkono wa Rais Samia

Magufuli alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na Makamu wake jikoni ndio sababu miradi Yote aliyoacha Magufuli inakwenda kwa kasi.

Dr. Mollel amesema kwa mfano Hospital ya Rufaa Chato, Magufuli aliacha ujenzi ukiwa 40% na Rais Samia ameendeleza hadi sasa umefikia 98%

Source Star tv The Big Agenda
 
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kazi zote alizofanya hayati Maguful zilikuwa na mkono wa Rais Samia

Maguful alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na Makamu wake jikoni ndio sababu miradi Yote aliyoacha Magufuli inakwenda kwa kasi

Dr Mollel amesema kwa mfano Hospital ya Rufaa Chato Magufuli aliacha ujenzi ukiwa 40% na Rais Samia ameendeleza hadi sasa umefikia 98%

Source Star tv The Big Agenda
Rubbish
 
Kwahiyo Huyo Jiwe alikua akishinda nyumbani kwa Samia halafu anadokoa pishi lake kwenye masufuria bila kupakuliwa?
.kwamba Samia akiwa makamu wa Rais alikua akipika mwenyewe chakula au kamaanisha chakula kingine?

Huyu jamaa ana sura flani imekaa kiajabu ajabu sana. Hata akili zake bado zimekaa hovyo sana i wonde hizi positions huwa wanazipataje hawa mongolian idiots!!
 
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kazi zote alizofanya hayati Maguful zilikuwa na mkono wa Rais Samia

Maguful alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na Makamu wake jikoni ndio sababu miradi Yote aliyoacha Magufuli inakwenda kwa kasi

Dr Mollel amesema kwa mfano Hospital ya Rufaa Chato Magufuli aliacha ujenzi ukiwa 40% na Rais Samia ameendeleza hadi sasa umefikia 98%

Source Star tv The Big Agenda
Ha ha ha! Mzee wa Rubish thread upo tena? Ila kwa kweli we ni bonge la jitu la hovyo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Chawa ktk ubora wake
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kazi zote alizofanya hayati Maguful zilikuwa na mkono wa Rais Samia

Maguful alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na Makamu wake jikoni ndio sababu miradi Yote aliyoacha Magufuli inakwenda kwa kasi

Dr Mollel amesema kwa mfano Hospital ya Rufaa Chato Magufuli aliacha ujenzi ukiwa 40% na Rais Samia ameendeleza hadi sasa umefikia 98%

Source Star tv The Big Agenda
 
Nchi Yetu inasikitisha lakin kwa kuwa Njia za Mungu hazichunguziki basi Baba anatuletea upinzani kuongoza nchi hii yaani Lissu
 
Back
Top Bottom