Nawaza tu
Tume ya Jaji Warioba yenye Wajumbe 10 Prof Baregu rip alikuwemo
Kamati ya Mikataba ya madini Zitto Kabwe alikuwemo
Kikosi kazi cha Zanzibar chenye Wajumbe 11 ambapo Wanne tu ndio...
Lengo namba nne la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ni kuhakikisha watu wote wanapata elimu bora, yenye usawa na kutoa fursa kwa wote kujiendeleza na kufikia vipawa vyao kikamilifu. Ili...
TEGENI SIKIO JUMAPILI RAIS SAMIA ANA JAMBO ZITO SANA-MBUNGE DITOPILE
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile leo amejumuika na wanaCCM wenzake katika Kata ya Bulungwa kumuombea kura...
MBUNGE DITOPILE ASALI IBADA YA KRISMASI KIGOMA, WAUMINI WAMPONGEZA RAIS SAMIA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile Ameungana na Mamia ya Waumini wa Kanisa la Anglikana...
DITOPILE :RAIS SAMIA AMEFANYA MAKUBWA MKOA WA DODOMA
MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa...
BAJETI YA KILIMO YAMKUNA MBUNGE DITOPILE, AMPONGEZA RAIS SAMIA
MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Mariam Ditopile ameimpongeza Serikali inayoongozwa na Rais wa...
Japokuwa sina elimu au ufahamu mkubwa kuhusu ile ishu ya viongozi wa umma kuweka wazi mali zao kwenye mamlaka husika lakini nina uhakika kuna vitu havipo sawa.
Nawaza hivi kweli viongozi wetu...
Kampuni ya uendelezaji na uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO) imetoa gawio la Sh2.9 bilioni kwa Serikali kwa mwaka 2016 hadi 2019.
Hayo yameelezwa leo Oktoba 11...
Wanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya...
Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini.
Makonda alisaidia sana Jiji la...
Kulipwa mishahara baada ya miezi miwili kupita!
Mgao mkali wa umeme!
Maisha kuwa ghali!
Bidhaa kupanda kiwango cha mtu kushindwa kumdu maisha!
Miradi ya Serikali kusuasua na au kusimama kabisa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ampokea na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Somoei Ruto Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2022...
Mauzo ya Tanzania nchini Kenya mwaka 2021 yalikua kwa 42% kutoka Tsh Bilioni 537 mwaka 2020 hadi Tsh Bilioni 929 mwaka 2021, mchango mkubwa umetokana na kutatuliwa kwa vikwazo vya kibiashara...
Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia?
Je, haisikilizwi?
Je, haioni umuhimu?
Je, hayawahusu?
Je, ni kawaida kwao?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Mwasonga, wamempongeza Katibu wa Jumuiya ya wazazi wa Tawi hilo Ashura Athumani Ditopile, kwa juhudi zake za kumuunga mkono Rais wa Jamuhuri ya...
Miaka mitatu iliyopita, niliweka thread humu JF na kuainisha wazi kabisa jinsi serikali ilivyokuwa ikiwanvunjia Watanzania haki zao za binadamu. Leo hii nina furaha sana kuona hili limesikilizwa...
Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana.
Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi...
Mimi kama Mtanzania ninayeishi kijijini kwanza naipongeza serikali kuja na MUSWADA wa Bima ya Afya kwa watu wote ni Jambo jema ktk kunusuru afya za watu wake. Changamoto ninayoiona hapa ni hizi...
Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu...
MNYORORO WA THAMANI UKO WAPI; MALIGHAFI ZA TANZANIA AU BIDHAA ZINAZOZALISHWA KENYA!?
Je, ni kweli kilimo ni biashara kichaa!! Jibu ni hapana. Je, hakuna masoko ya Kilimo!? Jibu ni hapana, wapo...