Chadema ina " Mvuto" Kwenye kila Tume muhimu lazima Mjumbe wake awemo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Nawaza tu

Tume ya Jaji Warioba yenye Wajumbe 10 Prof Baregu rip alikuwemo

Kamati ya Mikataba ya madini Zitto Kabwe alikuwemo

Kikosi kazi cha Zanzibar chenye Wajumbe 11 ambapo Wanne tu ndio wanawakilisha Vyama vya Siasa Chadema wamo

Kiukweli Chadema ni makini kwa kiasi fulani

J5 ubarikiwe sana
 
chadema sio km ina mvuto hapan ila n chama kikuu cha upinzan kwhy hata no ya members wake n kubwa tofaut na nyama vngne hvy lzm ije tafsr serikal kuu iktka kuunda mipang yake inatayo ihusu jamaa lzm ishirikian na chama kikuu pinzani
 
Hata katiba inapoenda kupatikana CHADEMA wanamchango mkubwa sana wa upatikanaji wake!!!

Baadae tutapata Waziri mkuu kutoka KWA iliyokuwa CHADEMA Baada ya Ccm na CHADEMA kufa!!
 
chadema sio km ina mvuto hapan ila n chama kikuu cha upinzan kwhy hata no ya members wake n kubwa tofaut na nyama vngne hvy lzm ije tafsr serikal kuu iktka kuunda mipang yake inatayo ihusu jamaa lzm ishirikian na chama kikuu pinzani
Kwamba chadema haina mvuto kwa watz? Huo uchama kikuu cha upnzani imetoa wp ikiwa haikubaliki. Unadhan mwendazake alikuwa kichaa kuvuruga uchaguzi au kukiuka katiba kwa kuzuia mikutano ya hadhara eti eeeh. Mijitu ya ccm bhana.
 
Fikra sahihi hutoka kwa watu sahihi maana huwa na maono sahihi katika ujenzi wa jamii iliyo bora lazima watu sahihi wakubaliane katika hayo mambo sahihi

NB :kwenye msafara wa Mamba ,kenge nao wapo
 
Kwamba chadema haina mvuto kwa watz? Huo uchama kikuu cha upnzani imetoa wp ikiwa haikubaliki. Unadhan mwendazake alikuwa kichaa kuvuruga uchaguzi au kukiuka katiba kwa kuzuia mikutano ya hadhara eti eeeh. Mijitu ya ccm bhana.
sijasema km chadem haina mvuto chief ila nmekupa sabab kuu ya chadem kuwa na wawklish na ushirikishwaj kwny masuala meng ya kitaifa kwa sabab n chama kikuu cha upinzan ss cjui haujakunywa chai au tozo na kalyanda znakuchangany nan ccm hapa
 
NI TOZO NA KYLINDA chai nishakunywa.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom