Vilaza ndiyo wanaamini Rais Samia siyo legacy ya mwendazake

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,742
15,215
Yaani wanadhani mwendazake kuna siku atarudi, wanaonyesha chuki za wazi kabisa kwa huyu mama, wanajaribu kutuaminisha kwamba magufuli alikua ndo bora kuliko huyu mama!

SSH pamoja na mapungufu yake ya kushindwa kumanage matatizo ya kiuchumi na mfumuko wa bei but ndo the best kuliko huyo marehemu wao

Hakuna kitu kinanikera kama kumchukia mtu kwa chuki binafsi tu, personally bila hoja!!Hichi ndicho wanachokifanya push gang na watu wao, wanafikiri sisi ni wajinga na wapuuzi kiasi hiko!!

Samia ni mara milioni afadhali ya mwendazake, mwendazake alikua na nini cha maana?Mtu aliyekua anawaza kuua,kuteka,na kuharibu uchumi na ufisadi tu ana uzuri gani?Hebu tujifunze kwa busara za wengine

Tena niwaambie tu ukweli, magufuli hakuacha legacy yoyote ile ya maana ametuachia legacy ya madeni na ufisadi tu.....

Kwani jamani hata walopitisha tozo bungeni si waliletwa na huyo mwendazake kupitia uchafuzi wa 2020?sasa iweje jumbabovu mlidondoshe kwa SSH

Hamuamini na hamtoamini na labda niwajulishe kwamba sahivi nchi yetu tuna amani na hatutekwi tena hatuna hofu tena wala hatuhofii maisha yetu tena kama kipindi cha mwendazake.

Mtateseka sana push gang yaani ndo ishatoka hiyo ccm walifanya makosa kuwa na candidate kama huyo lakini haitokaa itokee tena mtu kutoka chato kupewa dhamana kubwa vile makosa hutufunza tusifanye makosa makubwa zaidi

Kiukweli sijui ilikuaje akawa rais?hadi leo huwa najiuliza mtu kama yule ilikuaje akapewa nchi angeendelea kuwepo hadi sasa yawezekana hata hii mitandao isingekuwepo au kungekua na restrictions kibao za kuingia mtandaoni na tungekua tushakufa wengi sana hadi leo

Asante mungu kwa kuliponya hili taifa, watu wengine wapinzani tunaweza kupingana na samia namna anavyoshughulikia masuala ya uchumi na mfumuko wa bei, lakini mengine ya kisiasa anakwenda vizuri.

Push gang ni genge lililojikatia tamaa still wanaamini boss wao atarudi siku moja, haitokaa itokee tena hilo genge linapewa nchi, na kwenye siasa i think 2025 ndo tunawaaga kabisa

Chuki zenu na Samia hazitowasaidia chochote maana mnamchukia personally ifike mahali mkubali tu kwamba rais ni Samia, na lissu ni mzima wa afya na boss wenu ndo miaka sasa tushamsahau,Samia yupo na bado mtateseka sana,mtaumia lakini la kufanya hamna,nguvu yenu iliishia pale chato pale
 
weeeerrr.jpeg
 
The beautiful ones are not yet born
No politics

Hii ndio bango nitakayo weka kwa sitting room
 
Yaani ni ujinga wa kiwango cha lami kumfananisha ama kumlinganisha shetani yule na huyu mama mwenye hofu ya Mungu ya kweli.

Mm naamini hali ngumu tunayopitia ni kwasabb ya upumbavu wa yule jini. Aliharibu mizizi na alikata mishipa na kuparaganya mifumo ya kiuchumi nchi ikasimama kukua. Kazi yake ikawa kupora na kukopa tu.

Hata itokee nn sitakaa nimkumbuke ibilisi yule. Sana sana namuomba Mungu amuongezee adhabu huko Kuzimu.
 
Upumbavu mtupu. Ni aibu kufananisha huu upuuzi uliopo na Shujaa wa Afrika aliyepiga kazi wananchi tukafurahia maendeleo na upendo na kujaliwa na serikali.Sio huu upuuzi unaoendelea sasa
 
Mtoa mada ni mlamba asal mkubwa iv unafananisha jemedari na huyu hangaya Shem on u ...tulifaidi wengi wachach mkaumia nyie Wala rushwa. IV unajisikiaje ukipit pal ubungo bila follen ya kukera barabr Hadi ndn ndan tuambie ukwel Nani angeweza ...RIP JPM bila shak unaongoza malaika huko
 
Mtoa mada ni mlamba asal mkubwa iv unafananisha jemedari na huyu hangaya Shem on u ...tulifaidi wengi wachach mkaumia nyie Wala rushwa. IV unajisikiaje ukipit pal ubungo bila follen ya kukera barabr Hadi ndn ndan tuambie ukwel Nani angeweza ...RIP JPM bila shak unaongoza malaika huko
Magufuli hakuwa Rais sahihi kwa Nchi yetu bali alikuwa anapuyanga tu. Watanzania wengi elimu duni aliwadanganya kwa propaganda zake na wakadanganyika, hawakuwa na namna ya kupata taarifa mbadala.

Ilikuwa ni ajali kutawaliwa na kichaa toka Chato iliyotokea mwaka 2015. Naamini haitotokea tena.

Halafu Samia amefungua uhuru wa maoni na kusema. Wakumponda wanamponda, na wa kumpongeza wanampongeza pia. Siyo Magufuli ambaye aliishia kusaka watu mitaani na mitandaoni ya wanaomkosoa.

Tuko mikono salama na Rais SSH
 
Hata samia mwenyewe anajua urais hauwezi. Kama mwwnyewe anajua hivyo we ni nani umsemee?

Labda pengine hukuwahi kuishuhudia serikali ya JK pengine ulikuwa bado mdogo.

Ila kwa taarifa yako mfumo wa serikali hii ni JK na kwa kifupi samia pale ni picha tu.

Asilimia kubwa waliojaa kwa sasa ni wafuasi waaminifu wa JK. Hata juzi tulishangaa anna makinda kuwa kamisaa wa sensa na wakati huo huo akiwa mwenyekiti wa nhif iliyofeli vibaya. Ila JK akasema hapa ni swaiba wake sana.
 
Back
Top Bottom