mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,700
Habari wakuu,
Kutokana na maendeleo ya technolojia,idadi ya watu kuongezeka kwa kasi na uwezo mdogo wa serikali kuzalisha ajira mpya (ukuaji wa uchumi) kuna kila sababu kuiangalia upya sheria ya ajira (Employment and labor relation act -ELRA 2004)
Kuwe na mabadiliko ya kuajili watu permanent ,badala yake watoe tu mikataba isiyozidi miaka kumi au mitano ambayo ni renewable,tena mtu akitaka kuajiliwa tena apigishwe mtihani upya..ambao unaendana na mazingira pamoja na matakwa ya muda husika
Hii itasaidia watu kujiendeleza kupata knowledges mpya ,tafiti za wakati husika na pia kuendana na ukuaji wa technolojia wa muda husika ,tofauti na ilivyo sasa mtu ameajiliwa mwaka 1970 au 60s huko unafikiri huyu mtu ni productive ukimpima kutokana na mazingira ya sasa hivi?Hivyo basi itaongeza productivity ya employees
Sio hivyo tu ,pia itasaidia wafanyakazi wazembe ,wala rushwa,mafisadi,wavivu ,waliobweteka etc mfumo uwe unawaengua wenyewe
Faida nyingine ambayo ndio focus yangu hasa ,mfumo wa ajira mpya utawapa fursa ya vijana ambao wamekosa ajira kuingia kwenye mfumo rasmi na maarifa yao mapya kulitumikia Taifa na kupunguza umasikini uliokithiri na kutoa fursa kulitumikia Taifa lao kwa nguvu mpya kabisa na kutumia ajira kama sehemu ya kupata mtaji baada ya kustaafu miaka michache baada ya mkataba kuisha
Eneo lingine ambalo mfumo pendekezwa utasaidia ni katika kujenga mindset ya ujasiliamali (entrepreneurship community)
Hii itajengwaje?ili kuwasaidia wafanyakazi watakaokua wanastaafu kwenye mfumo wa ajira ,serikali itatakiwa kuwajengea uwezo wa kijasiliamali ,na mitaji ambayo watakua wamepata kupitia mifuko ya jamii (kiinua mgongo) wafungue entrepreneurial ventures ambazo zitakua na uwezo wa kuajili watu wengine wengi ,lets say kila mmoja awe tu na uwezo wa kuajili watu wa 3 zidisha kwa watu milioni moja ,utapata watakaoajiliwa ni millioni 3 ,hivyo basi itatanua ,kukuza ajira na uchumi wa nchi kukua pia (microeconomics)
NB;mfumo wangu mpya wa ajira uwabakize tu watu ambao ni special talents na wakuu wa idara au makampuni ya umma ambayo kupitia performance zao yameleta tija (wame achieve Key Performance Indicators)
Pia waajiliwa wapewe kiinua mgongo chao chote baada ya kustaafu
Mwisho kabisa maneno yangu sio sheria ,mimi sio mwenyekiti wa chama ,kuna baadhi wako emotional kwakua tu watakua terminated but tukiangalia kwa picha pana kuna kitu kitaleta tija ,pia hamna mtu duniani ametoa mawazo ambayo watu wote wakakubali (common senses are not common)
The captivity of negativity-Tchao