Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.
Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo
Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo