ACT wajiunge CCM wawe chama kimoja

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,288
33,893
Hivi vyama vinafanana Falsafa zake na husaidiana kupambana na CHADEMA na kwa kuwa ni vyama vya kijamaa, kwa nini chama kidogo cha kijamaa (ACT) kisijiunge na chama Kikubwa cha kijamaa (CCM) na kuwa sehemu ya chama hicho?

Nadhani itakuwa vyema na haki ACT ikajiunga CCM.
 
Ukifuatilia ACT tangu chaguzi za 2015, mwenendo wake kisiasa, utabaini ACT ni CCM-B
 
Back
Top Bottom