Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania ...
11 Reactions
185 Replies
8K Views
Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kuongezeka nchini ikielezwa kuwa ni kutokana na mazingira wezeshi katika sekta ya mawasiliano kuelekea uchumi wa kijidali. Hayo yamebainishwa katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Suala hili la kujiuzulu haswa katika nyadhifa za utawala ndani ya sirikale ya CCM. Hili limekuwa ni mwiba mkali sana kwao maana kila linapotkea jambo lisilokuwa na mashiko na ikatokea shinikizo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mbunge tunamvua ubunge, alafu ndani ya week anahamia CCM, huyo huyo anasimamishwa kugombea tena, Je spika alomvua ubunge atakuwa na akili timamu? Tume ya uchaguzi inaweza kumpa kweli form tena ya...
22 Reactions
58 Replies
7K Views
Hatimaye aliyekuwa Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Josephine Mushumbusi. Wawili hao walifunga ndoa nchini Canada jana katika kanisa moja...
3 Reactions
248 Replies
43K Views
Wadau bado Najiuliza kwanini Serikali imetumia kodi za Wananchi kuunda kikosi kazi kufanya kazi ambayo ilikwishafanywa na tume ya Warioba kwa gharama? Isitoshe tume ya Warioba ilikusanya maoni na...
1 Reactions
5 Replies
758 Views
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika. Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
2 Reactions
29 Replies
4K Views
* Huyu Mukama ni mgonjwa anasema Wananchi wajifunze ya Misri Eti Kuandamana kwao kama Chadema kumeashiria Nchi kuongozwa Kijeshi Wednesday, 11 May 2011 11:11 newsroom NA WAANDISHI WETU -...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
Waafrika tuna ufundi mwingi wa kujihusianisha na watu maarufu wenye madaraka makubwa huko Ulaya na US. Mtu hata anayeonekana kama ni mchovu tu akianza kuongea atataka awatishe wanaomsikiliza kwa...
2 Reactions
7 Replies
927 Views
NIMEKUA JAPO NI KIDOGO. Nimefikisha umri wa miaka 27, ninaishangaa akili yangu inayoanza kunirudisha miaka kumi na mitatu 13 nilipokuwa shule ya msingi huku ikiniambia itazame jamii yako...
1 Reactions
4 Replies
828 Views
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza CHANZO: Mwanachi Instagram -- Rais Mstaafu, Jakaya...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwenye mfumo wa Elimu Yetu tuna matatizo mengi sana ambayo kwa haraka haraka inawezekana ikatuchukua hata miaka zaidi ya 20 kuyarekebisha, tena kama tukiwa makini na tuliodhamiria kufanya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila mara CHADEMA! CHADEMA! CHADEMA! Mara CHADEMA hivi mara CHADEMA vile. Siku mkisikia mtu wa CHADEMA ameongea tu na kiongozi wa CCM basi Lumumba kunapikwa pilau na biriani. CHADEMA wakipita tu...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Daah nchi ina ujinga mwingi sana aise kuna watu wanapenda mamlaka balaaa! Msaidieni Gwajima, ubunge sio cheo cha kimamlaka/udola. Ni cheo cha kisiasa cha kuhudumu umma tu kama kiunganishi cha...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Makala hii imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema (25/10/2022). HESABU za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) mara zote ni kama zinakosa uhalisia, hali ambayo inasababisha wao...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia. Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
CHADEMA wapo kimya ila CCM wenyewe kila siku ndiyo wamekuwa wasemaji kwa niaba ya CHADEMA. Yaani CHADEMA wakitaka kusema CCM wanatumia vyombo vya dola kuwazuia kusema, wakikaa kimya bado inakuwa...
8 Reactions
12 Replies
857 Views
Kazi ya kuandika katiba inapaswa kupewa umuhimu wa juu kwani ni tendo takatifu linalotupeleka kwenye maisha mapya ya uhuru wetu. Taifa letu bado liko katika mfumo wa kikoloni lakini mkoloni wa...
0 Reactions
6 Replies
668 Views
Habari wana JF, Kupitia uchambuzi wa magazeti redioni, kuna habari kuhusu FINCA ilivyomfilisi mtu kwa deni la laki sita na kuuza nyumba ya mdaiwa mwingine yenye thamani ya mil.20 kwa deni la mil...
9 Reactions
151 Replies
35K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…