Naona nchi kama tatu za Afrika wanarusha satelaiti zao kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo mazingira na usalama.
Naona nchi kama Rwanda ikiwa na viwanda vya simu na magari.
Naona nchi...
Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa...
Janaury Makamba ukitoa jina Makamba pale je anabakia ni nini hasa cha ku show kwenye Taifa hili? Ana skills gani muhimu sana kwa Taifa? Ana upekeee gani?
Njoo kwa Riziwani Kikwete then ondoa neno...
Wizara ya Nape kila kukicha gharama za bando zinazidi kupaa na Watanzania wanajua.
Wizara ya Makamba kila kukicha inaongoza kwa kukata nishati ya umeme na kwalo vitu kama radio, TV, freezer na...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya...
SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...
Maeneo mengi sana ya vivijini, mvua zikikata tu, na maji ya kunywatayari yanakuwa ya taabu saana tokea Uhuru
Katika jimbo la Chalinze Kwa mfano, yapo maeneo Kwa kiangazi hiki, hawaogi mwezi...
Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji
Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa.
Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo...
Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si...
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Nkamia amesema mwaka 2019 ataanza upya mchakato wa kuwasilisha bungeni hoja yake ya kufanyika uchaguzi mkuu kila baada ya miaka 7, baada ya kuzungumza na wabunge wa...
Waziri wa Maji Jumaa Awesu ameitaka Dawasa kutoa bill halali wakati huu ambapo matumizi ya Maji kwa Wananchi yamepungua
Awesu amesema kama Mtu katumia Unit 5 basi Bili yake iwe ya unit 5 na...
Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili...
Wakuu Kumbe siku hizi ukifanya kosa la udanyanyifu unalipwa fidia ndo maana yake or sjaelewa?
Dah, tunakoenda ni mbali sana kumbe. Inatakiwa watoke vijana brave wakafaili constitutional suit...
Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa...
Hotuba za mkuu wa Mkoa wa Kagera zinajaa aina fulani ya ucheshi na ni wa kipekee. Huwa ni wa kwake mwenyewe haufanani na wa mwanasiasa mwingine yoyote. Maongezi yake yanafikirisha lakini...
Andiko hili ni zito, limeandikwa na Evarist Chahali, Ofisa Usalama wa Taifa wa Zamani. (LISOME KWA UTULIVU).
_______________________________________
Kila Mwenye Mapenzi Ya Dhati na Tanzania...
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba
2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious...
Salaam Wakuu
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Susan Kaganda alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kabla ya kupelekwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mafao cha Jeshi la...