Kama taifa tumejipangaje?

Kama taifa tumejipangaje?

Equitable

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
2,124
Reaction score
5,698
Naona nchi kama tatu za Afrika wanarusha satelaiti zao kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo mazingira na usalama.

Naona nchi kama Rwanda ikiwa na viwanda vya simu na magari.

Naona nchi zingine Afrika zikiwa na utaratibu wa kuitafuta teknolojia mbalimbali duniani.

Je, Tanzania tumejiadaaje kwa hayo?

Mbona sioni wasomi wakiyasemea?

Siku hizi hatupeleki watu kusoma nje ?

Au tunapeleka watu wasio na uwezo mradi awe mtoto wa fulani?

Tuna ujasusi wa kiuchumi au tupotupo tu?

Usalama wanaopata mafunzo ni kweli wana weledi au tunaangalia kama baba yake ni kada au alikuwa kada wa chama?

Taifa linahitaji mfumo imara usioangalia chama bali Utanzania.

Iko siku kutatokea vita na nchi jirani watanzania maskini wanaotelekezwa na serikali watakataa kupigana pengine kuungana na adui.

Serikali ijitafakari upya.
 
Nyumba vya madarasa na matundu ya choose bado utata ndio unafikiria mambo ya watu wenye akili timamu?

Tupambane na wale maadui watatu kwanza bado wangalipo.
 
"Mimi nitaendelea kuwalaumu The state KWA Hali yetu TZ ilivyo, YAANI Rais kajikita kuwaza Namna ya kushinda uchaguzi ujao na kulinda Chama kishike dola, UJINGA Huu umetu.ia NGUVU nyingi kuliko za kujenga Taifa letu!!

Leo ccm wanaweza Nani Rais ajaye na kuhangaika na wapinzani tena KWA .uda MREFU the state WAO wapo wanaona,hatuna DIRA ya pamoja ambayo KILA Chama ingepigania Baada ya kushika dola!!
 
Hivi unategemea mtu kama kihongosi, chongolo atakuwa anawaza nini saa hizi
 
Naona nchi kama tatu za Afrika wanarusha satelaiti zao kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo mazingira na usalama.

Naona nchi kama Rwanda ikiwa na viwanda vya simu na magari.

Naona nchi zingine Afrika zikiwa na utaratibu wa kuitafuta teknolojia mbalimbali duniani.

Je, Tanzania tumejiadaaje kwa hayo?

Mbona sioni wasomi wakiyasemea?

Siku hizi hatupeleki watu kusoma nje ?

Au tunapeleka watu wasio na uwezo mradi awe mtoto wa fulani?

Tuna ujasusi wa kiuchumi au tupotupo tu?

Usalama wanaopata mafunzo ni kweli wana weledi au tunaangalia kama baba yake ni kada au alikuwa kada wa chama?

Taifa linahitaji mfumo imara usioangalia chama bali Utanzania.

Iko siku kutatokea vita na nchi jirani watanzania maskini wanaotelekezwa na serikali watakataa kupigana pengine kuungana na adui.

Serikali ijitafakari upya.
Mabanda ya kubetia mbona yapo mengi tu?
 
Taifa ambalo lina kwenda kuchukua mikopo ili kujilipa posho,kuunda kamati za kijinga zisizo na matokeo yoyote kwa jamii,kujenga matundu ya choo nk linapata wapi muda hadhimu wa kufanya maendeleo?

Viongozi leo hii tupo 2022 wenyewe wanawaza urais 2025 wanakusanya pesa ndani na nje ili kuzitumia kutoa rushwa kipindi Cha uchaguzi aina hii ya viongozi watawaza maendeleo gani muhimu kwa tafa?

"Kuna karne itafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi nadhani Karne yenyewe ndo hii"Shaaban Robert
 
Naona nchi kama tatu za Afrika wanarusha satelaiti zao kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo mazingira na usalama.

Naona nchi kama Rwanda ikiwa na viwanda vya simu na magari.

Naona nchi zingine Afrika zikiwa na utaratibu wa kuitafuta teknolojia mbalimbali duniani.

Je, Tanzania tumejiadaaje kwa hayo?

Mbona sioni wasomi wakiyasemea?

Siku hizi hatupeleki watu kusoma nje ?

Au tunapeleka watu wasio na uwezo mradi awe mtoto wa fulani?

Tuna ujasusi wa kiuchumi au tupotupo tu?

Usalama wanaopata mafunzo ni kweli wana weledi au tunaangalia kama baba yake ni kada au alikuwa kada wa chama?

Taifa linahitaji mfumo imara usioangalia chama bali Utanzania.

Iko siku kutatokea vita na nchi jirani watanzania maskini wanaotelekezwa na serikali watakataa kupigana pengine kuungana na adui.

Serikali ijitafakari upya.
Kama tumeshindwa kujipanga kwenye huduma za maji,umeme ?huko tutaweza?
 
Back
Top Bottom