Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinachoendelea Tanzania ni Uhaini unaofanywa na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya awamu ya sita, haiwezekani mgao wa maji ufike mpaka Vijijini hivi ninavyoandika nipo Marangu mtoni maji yanatoka...
34 Reactions
116 Replies
8K Views
Dar es Salaam, Tarehe 26/10/2022 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa mvua za msimu kwa maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka. Maeneo hayo yakijumuisha mikoa ya...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Watanzania ni wepesi wa kusahau, wanasahau mapema mithili ya maisha ya nzi Mwaka 2017 kulikuwa na ukame mkali hadi kupungua kwa chakula kabisa hakuna aliyethubutu kusema hata kidogo. Watanzania ni...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu...
1 Reactions
54 Replies
3K Views
Hawa vijana waliowahi kujiteka wanamatatizo sana. 👇
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimeona hapo Lumumba kimekuja kifurushi cha kadi za mwaliko Awali nilidhani ni mwaliko wa Sherehe za Diwali kumbe ni Sikukuu ya ACT wazalendo kuhamia Jengo jipya Ghorofa Ndio najiuliza Siasa ni...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Jiwe la msingi limeandikwa kwa mark pen. Jengo ambalo ni duka la wananzengo. Huu ni utapeli mkubwa sana wa kisiasa.
2 Reactions
11 Replies
952 Views
Kuna watu wakipatwa na kero kidogo tu usumbufu ni kwa nchi nzima ifike mahali tuache matatizo ya kiwilaya yashughulikiwe kiwilaya isiwe ajenda ya nchi. Watu wa Dar mnapata maji kwa mgao mnapiga...
11 Reactions
11 Replies
732 Views
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
Katiba Mkuu wa Chadema, John Mnyika angali kwenye ziara ya Kusimamia usajili wa kisasa wa wanachama (CHADEMA DIGITAL) ambapo leo ni zamu ya Mkoa wa Rukwa, huko Kalambo. Hata hivyo alipofika...
21 Reactions
49 Replies
3K Views
Wanabodi Rais Samia ambaye ni Rais Mwanamke wa Kizanzibari mwenye lugha tamu laini na lafudhi ya Kizanzibari, yenye maneno na vineno, vitamu hadi raha kumsikiliza haku ukitamani asimalize...
9 Reactions
91 Replies
9K Views
Tunaweza kuondoka kwenye mfumo wa lawama kwa kuitazama hii fursa. Hii ni ripoti ya uchambuzi wa kiujumla wa kiuchumi uliofanywa na Benki ya Stanbic kuhusiana na mradi wa gesi wa Lindi LNG...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Afrika Mashariki na Kati hakuna nchi ambayo ilikuwa inasifika kwa umoja wao kama Tanzania Na bado ninyi ni wamoja saana Ila tabia hii ya kuanza kuulizana kuhusu makabila yenu au kuhusu ukanda...
1 Reactions
2 Replies
423 Views
Mwigulu Nchemba alitamka tena mara mbili kuwa anayeshindwa gharama za maisha hapa Tanzania aende Burundi, sasa ni dhahiri kuwa wengi wameshindwa kuhimili gharama kubwa za maisha kama alivyo...
3 Reactions
7 Replies
722 Views
Kwa kuwa bei ya umeme haiendani na uhalisia wa mauzo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halipati mtiririko mzuri wa mapato, hivyo kushindwa kulipa madeni yake ya muda mfupi, hali...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la msingi kwenu Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ...
3 Reactions
12 Replies
675 Views
Mungu wa mbinguni humtumia Mtu " mmoja tu" anapotaka kuleta ukombozi katika jambo fulani Zitto Kabwe na Deus Balile wamesisitiza sana kwa kusema " Katiba mpya ni lazima ipatikane ili yasijirudie...
1 Reactions
12 Replies
814 Views
26 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania Video courtesy of Azam TV Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Watu Wengi walijiuliza iwapo Kikosi kazi cha Prof Mkandalla kilikuwepo kwa mujibu wa sheria Mjumbe wa kamati mh Zitto Kabwe amesema sheria ya Katiba mpya ilianzishwa tangu 2011 na mawazo ya...
0 Reactions
3 Replies
561 Views
hii ratiba ya mgao wa maji iliyotolewa na dawasa mbona hawaifuatilii au ni usanii wa kisiasa maana ratiba ya maji waliyosema jana yatatoka Mbezi juu ikiwemo lakini hola
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…