Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,860
- 12,291
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali hii ya awamu ya sita ya mama yetu mh raisi Samia S. Hassan.
Tukiachana na waziri mkuu ambae yeye ndio mkuu na msimamizi wa shughuli zote za serikali, hiyo chini ni list yang ya mawaziri watano bora katika awamu hii ya mama yetu Samia S. Hassan.
1) waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa- Mh. DKT. Stergomena Lawrence Tax.
2) waziri wa kilimo- Mh. Hussein Bashe.
3) waziri wa maji- Mh. Juma H. Aweso
4) waziri wa utamaduni, sanaa na michezo- Mh. Mohammed O. Mchengerwa.
5) waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki- Mh. Liberata R. Mulamula.
Hii ndio list yangu kwa sasa, ila kama kuna mdau ana list yake ya tano bora ambayo ipo tofauti na hii ya kwangu, basi anaweza kuorodhesha kupitia comment hapo chini.
Hii itasaidia wale mawaziri ambao hawatojiona kwenye list zetu za tano bora wajitafakari kuhusu wapi walipokosea, na nini wakifanye ili kujijengea heshima katika jamii, ili siku nyingine waweze na wao kuwepo kwenye list zetu.
Naomba uzi huu tuuchangie kwa heshima na taadhima. Isiwepo dhihaka, kashfa wala lugha mbaya kwa viongozi wetu na wana JF wenzetu.
Karibuni.