4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,602
- 13,524
Mtapigwa Kama ngoma, mtaishi maisha magum Kama wachawi, inchi hii ya Watu wote mda utaongea , Linda taifa na sio vyama Mungu atapunguza adhabu zenu ,kamwe usipate laana KWA ajili ya Watu wengine
Wanatambelea v8 wewe pikipiki Kama sio baiskeli, jitambue na chukua HATUA na Mungu atawabariki
Wanatambelea v8 wewe pikipiki Kama sio baiskeli, jitambue na chukua HATUA na Mungu atawabariki