Hivi ukoloni Africa utaisha lini. Tazama Rwanda inavyotumiwa na wakoloni kuiibia drc!

Chikenpox

JF-Expert Member
Oct 15, 2022
784
1,247
Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi.

Mangungo akalaghaiwa ka mikataba mibovu pia.

Sasa Rwanda inatumuwa na wazungu kuwapiga waafrica wenzake i.e Congo ili tu waive madini bila kujulikana Kama ni wao kwa through M23.

Rwanda inapewa siraha nzito na marekani kuishambalia na kuua raia wa drc.

Kwa nini Africa tusijikomboe dhidi ya wakoloni Hawa. Wanatajirika kwa Mali zetu na kuua bila kujali na baadhi ya vibaraka Kama kagame wanawasaidia na inasemekana kagame ni C.I.A wa marekani aliyepandikizwa ili kukidhi maslahi ya marekani.

Africa Nani aliyetuloga?
 
Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi...
Na TANGANYIKA inavyowaibia RAIA wake kwenye MATOZO
 
Kabla ya vita huko DRC, hizo rasilimali ziliwasaidiaje watu wa kongo? Au niulize tangu wapate uhuru, wakongo wamefanya nini cha maana kwa kutumia utajiri wao?
Kila siku ni Vita sasa ukitaka ifanye maendeleo gani
 
Umeamua kutema mfupa uliowashinda wengi kusema. Maadamu madini adimu yako eneo hilo la congo vita haitaisha. Vita inapiganishwa, weusi kwa weusi.

Faida ya madini badala ya kujenga miundombinu ya Congo inanunua silaha za kupigana zaidi. Maslahi makubwa ya wizi ni kupata madini bure kutoka congo, kuuza na kununua silaha za kulinda utawala wa jirani zake congo.
 
Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi.

Mangungo akalaghaiwa ka mikataba mibovu pia.

Sasa Rwanda inatumuwa na wazungu kuwapiga waafrica wenzake i.e Congo ili tu waive madini bila kujulikana Kama ni wao kwa through M23.

Rwanda inapewa siraha nzito na marekani kuishambalia na kuua raia wa drc.

Kwa nini Africa tusijikomboe dhidi ya wakoloni Hawa. Wanatajirika kwa Mali zetu na kuua bila kujali na baadhi ya vibaraka Kama kagame wanawasaidia na inasemekana kagame ni C.I.A wa marekani aliyepandikizwa ili kukidhi maslahi ya marekani.

Africa Nani aliyetuloga?
Yaani hapa ndipo wafrika tunapoonekana hatujitambui,kila tatizo linalotukabili tuna wasingizia wazungu!!Ina maana nchi zote za afrika zimeshindwa kuilinda hiyo DRC?tuone kweli huyo US, hata jitokeza?bara lote la Africa ni migogoro tupu kutokana na ulafi wa viongozi wetu,nenda huko MALI,eti wana nchi wanaandamana ili UFARANSA,aondoke aje WARGER,(mamruki wa Urusi),kinachoendelea huko S.SUDAN,ETHIOPIA,kuna hata azimio linalotolewa na AU?huko DRC mwaka 2018 USA,walitaka kupeleka wanajeshi wakongo man wakaja juu kuwa hawahitaji tena wazungu..
 
Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi.

Mangungo akalaghaiwa ka mikataba mibovu pia.

Sasa Rwanda inatumuwa na wazungu kuwapiga waafrica wenzake i.e Congo ili tu waive madini bila kujulikana Kama ni wao kwa through M23.

Rwanda inapewa siraha nzito na marekani kuishambalia na kuua raia wa drc.

Kwa nini Africa tusijikomboe dhidi ya wakoloni Hawa. Wanatajirika kwa Mali zetu na kuua bila kujali na baadhi ya vibaraka Kama kagame wanawasaidia na inasemekana kagame ni C.I.A wa marekani aliyepandikizwa ili kukidhi maslahi ya marekani.

Africa Nani aliyetuloga?
Unaichafua Nchi yetu ya Tanzania mkuu.
 
Congo kupigwa na Rwanda ni ufala tena haswa...
 
Back
Top Bottom