Yaani kuna watu ni Wabunge lakini njia waliyopita hadi kufika Dodoma ilijaa mizengwe, hekaheka, vitisho na misukosuko mingi
Mungu wa mbinguni awape wepesi kwa kweli
Sabato njema!
WanaJf, Hi!
Nchi ya Rwanda na DRC ni majirani zetu kabisa na ni washirika wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hata hivyo matukio ya usimikaji na ufadhili wa kundi la M23 unaofanywa na nchi ya Rwanda...
Habari ndugu zangu,
Huwa najiuliza Sana, hivyi hawa wanasiasa wanaoiba hela za serikali, kwa mgongo wa miradi, wanajua kuwa Moto upo ??? Na dhambi ya wizi itawapeleka motoni???
Hivyi wanasahau...
Nimpongeze Rais Samia kwa kuamua mradi wa Gesi asilia uendelee leo katika pekenyuzi zangu nimekutana ripoti nzuri kutoka stanbic nimeona si vibaya tukashare hapa kwa uchambuzi mdogo nilioufanya...
Kama Katibu mkuu Mnyika peke yake aliweza kuratibu utaratibu Wote kuanzia Chadema, NEC hadi Bungeni na Nusrat Hanje akawa mbunge basi kuna tatizo kubwa kuliko tunaloliona
Kuna Siku chama cha...
Mara nyingi sisi watumishi wa Mungu tunaponena jambo badala mtusikilizie basi mnajikita kutuangalia Kaliba zetu, kwamba we mtu uliyekuwa hujasoma utaniambia nini, mtu mwenye maskini tu...
Ni kuhusu kadhia ya kutokupandihswa madaraja kwa wanataaluma. Suala la academic promotions kwa chuo kikuu cha taifa cha Zanzibar (SUZA) ni la kusikitisha na kufedhehesha.
Mchakato unachukua muda...
Ndugu zangu Rais Samia ameirejesha heshima ya Tanzania Kimataifa, Sasa Tanzania inazungumzwa na kuandikwa kwa Mazuri, Sasa kurasa za mbele za magazeti Ni juu ya fursa ambazo Tanzania imezipata...
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kila mara bila kupata jibu, ni kwanini kila mwaka ripoti ya CAG inabainisha wizi wa mabilioni ya shilingi serikalini, bila ya kuchukuliwa hatua yoyote, je ni...
Kupitia katika ripoti mbalimbali za kiuchumi katika Bara la Afrika zinaonyesha hali ya ukwasi (Utajiri) kwa Tanzania ni dola bilioni 67.78 za kimarekani Kuingia katika nafasi ya 10 nchi...
Kasema Tanzania kuna Ziwa Nyasa, Tanganyika, Ziwa Victoria lakini tunadai kuna upungufu wa maji na kuna mgao Dar na Mwanza. Eti Jangwa la Kalahari huko Botswana maji yapo hakuna mgao.
Anasema...
Utafiti Mpya Tulioufanya kwa zaidi ya miezi 6 unaonyesha kwamba, Nusrat Hanje aliyewahi kuwa Katibu wa BAVICHA TANZANIA, ambayo ndio Taasisi Bora Kabisa ya Vijana Barani Africa na baadaye...
Leo Tarehe 3/11/2022 kesi ya Wabunge Mamluki wasio na Chama baada ya kutimuliwa na kuvuliwa uanachama wa Chadema , inaendelea tena
Kama kawaida Wakili Msomi Peter Kibatala anaongoza Jopo la...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka anatajwa sana kwenye mbio za urais mwaka 2025 hasa ukizingatia ni kiongozi mnyenyekevu na mchapakazi sana tangu alipokuwa Simiyu, Dodoma na sasa Njombe.
Ni...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Leo tarehe amefika ofisi za RUWASA sehemu ya uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) na kutoa maelekezo mahususi kwa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Bonde...
Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya...
Nimegundua kuna Wabunge wanaotoka ukanda fulani wapo vizuri sana. Wakisimama Bungeni wanatetea maslahi ya Taifa bila woga na wanachukizwa sana na vitendo vya WIZI, UFISADI na UBADHIRIFU wa mali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.