Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika kitu ambacho mimi sipendagi ni kuitwa mnyonge mbele ya wenye pesa zao au nguvu zao Mimi hata niwe maskini kivipi kuniita mnyonge marufuku kabisa. Wakuniita mnyonge ni Mungu peke yake tu...
3 Reactions
4 Replies
532 Views
Mjumbe wa CC ya CCM mzee Wassira amesema Siyo Haki kulinganisha utendaji wa Marais wa JMT kwa sababu kila Rais ana namna yake ya Kuongoza ili kuwaletea wananchi maendeleo Wassira amesema hayati...
0 Reactions
8 Replies
826 Views
Leo waziri wa immigration wa Canada amesema kuwa kundi kubwa la watu ambao hawa fanya kazi Canada ni watu weusi wanategemea saana misaada ya Serikali na wakifanya kazi hawatulii kazini. Waafrika...
14 Reactions
62 Replies
4K Views
Mbunge ameeleza masikitiko yake kuhusu Mwananchi aliyekufa akiwa kwenye foleni ya kununua Mbolea ya ruzuku Baada ya mbunge kuongea Waziri wa Afya msaidizi Dr Mollel akasema mbunge hakupaswa...
1 Reactions
9 Replies
998 Views
Huyu bwana ni moja ya watanzania wachache wenye weledi na uzalendo wa hali ya juu. Kwa Kariba yake ukuu wa mkoa ni nafsi ndogo Sana. Alipaswa awepo kwenye ngazi za juu za maamuzi ya Nchi. Tatizo...
12 Reactions
91 Replies
4K Views
Ni wazi kwamba kama mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atafumbia macho swala hili jamii kwa ujumla itamchukulia kama swala hilo analijuwa na nisehemu ya utejekezaji wa malipo hayo ya bilion 300+...
22 Reactions
64 Replies
7K Views
MBUNGE wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemus Maganga amesema watu wote waliohusika kwenye mkataba wa TANESCO na Symbion na kulisababisha Taifa hasara ya Bilioni 350 wakamatwe mara moja kwani watu...
1 Reactions
6 Replies
884 Views
Umofia kwenu, Kwa tathmni niliyofanya mwaka huu 2022, nimebaini wanasaiasa watano (5) wanaoongoza kujadiliwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii forums hapa Tanzania. Orodha imekaa...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Baada ya Kusikia Mwendelezo wa Kesi ya HALIMA na Wenzake 18 ilikuwa inaendelea leo na kumsikia Husrat Hanje akijibu Maswali ya Mawakili wa Chadema kuwa aliletewa fomu ya kuomba Ubunge na Bw Mnyika...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Bongo sikumbuki mara ya Mwisho Wafanya kazi kugoma, saaa huwa najiuliza Tanzania ndiko Wafanya kazi wanalipwa vyema Dunia nzima? Lakini baadae bagubdua sio kwelie make mwenda zake hawakuongezea...
0 Reactions
8 Replies
528 Views
Wanabodi, Kwa kuanzia, japo siungi mkono vurugu za aina yoyote, lakini naunga mkono kwa asilimia 100% kilichotokea bungeni!. Zile fujo ni matokeo tuu na sio chanzo!. Nimewasikia baadhi wa...
17 Reactions
44 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa...
24 Reactions
711 Replies
67K Views
Serikali imetangaza kuuza mradi wa ujenzi wa Dege, Kigamboni uliokuwa chini ya NSSF kutokana na kushindwa kuuendeleza. Ujenzi wa mradi huo ulianza 2014 na Mwaka 2016 Serikali ya Awamu ya 5 chini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Natoa angalizo tu mtakuja kunishukuru baadae Tangu Chadema wamtoe mzee Nyaucho pale Nccr Mageuzi na kumleta Ufipa st nilimheshimu sana mzee Mtei Sabato njema!
2 Reactions
14 Replies
612 Views
Sifa mojawapo ya kuwa kiongozi wa umma ni kuwa na maadili yanayokubalika kwa wananchi. Kiongozi wa chama cha siasa ni yule mtu anayesimama mbele kwa niaba ya chama chake kwenye maslahi ya wananchi...
0 Reactions
10 Replies
873 Views
Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina...
30 Reactions
73 Replies
6K Views
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba...
11 Reactions
47 Replies
3K Views
ni kwanini mchakato wa wa kumtafuta mgombea urais 2025 UPELEKWE 2030?, (2)AWAMU MOJA YA UONGOZI HUHESABIWA KWA MIAKA KUMI,KWA MAANA HIYO AWAMU YA TANO BADO HAIJAKAMILISHA MIAKA 10,KWA NINI HII...
1 Reactions
4 Replies
448 Views
==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio...
24 Reactions
123 Replies
12K Views
Mwanamama wa shoka Nusrat Hanje ameibwaga CHADEMA, ukweli usiopingika huyu mwanamama ni genius sana. Huko mbeleni kama chama chetu CCM ikiona inafaa basi tumchukue huyu Nusrat. Hoja...
8 Reactions
130 Replies
11K Views
Back
Top Bottom