Kwanini Antony Mtaka anatajwa sana mbio za urais 2025?

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka anatajwa sana kwenye mbio za urais mwaka 2025 hasa ukizingatia ni kiongozi mnyenyekevu na mchapakazi sana tangu alipokuwa Simiyu, Dodoma na sasa Njombe.

Ni moja wa Wakuu wa Mikoa nadhani waliotajwa pia na RC Chalamila kuwa wako kwenye mbio za urais 2025 mimi binafsi yangu naona anafaa sana kuongoza ni kiongozi mzuri sana

Japo atakutana na mnyukano mkali kutoka kwa akina Madelu na Makamba lakini bado nyota yake inang'ara maana kila mahali anazungumzwa vizuri sana
 
Mumeshaunda tayari kamati zenu za Fitina na majungu ndani ya CCM wachawi nyie msiokuwa na haya
 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka anatajwa sana kwenye mbio za urais mwaka 2025 hasa ukizingatia ni kiongozi mnyenyekevu na mchapakazi sana tangu alipokuwa Simiyu, Dodoma na sasa Njombe.

Ni moja wa Wakuu wa Mikoa nadhani waliotajwa pia na RC Chalamila kuwa wako kwenye mbio za urais 2025 mimi binafsi yangu naona anafaa sana kuongoza ni kiongozi mzuri sana

Japo atakutana na mnyukano mkali kutoka kwa akina Madelu na Makamba lakini bado nyota yake inang'ara maana kila mahali anazungumzwa vizuri sana
Humtakii Mema Mtaka
 
  • Thanks
Reactions: Ame

URAIS Nchi hii ni Rahisi sana kuna Siku tutasikia Baba levo Diamond Harmonize na Juma Lokole wamechukua Fomu
 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka anatajwa sana kwenye mbio za urais mwaka 2025 hasa ukizingatia ni kiongozi mnyenyekevu na mchapakazi sana tangu alipokuwa Simiyu, Dodoma na sasa Njombe.

Ni moja wa Wakuu wa Mikoa nadhani waliotajwa pia na RC Chalamila kuwa wako kwenye mbio za urais 2025 mimi binafsi yangu naona anafaa sana kuongoza ni kiongozi mzuri sana

Japo atakutana na mnyukano mkali kutoka kwa akina Madelu na Makamba lakini bado nyota yake inang'ara maana kila mahali anazungumzwa vizuri sana
unania ovuuu
 
Kajamaa kana sifa kama walivyo watu wa kabila lake,Mjita na Mkara ni mapacha wanaofanana.
Kuwa na Rais Mjita/Mkara ni bora uongozwe na Msukuma,98% tabia zao zinafanana kama alivyo Mhongo.
Baada ya CCM kwenda against Nyerere na kumchagua Msukuma kuwa Rais-na kupata tulichokipata haitakuja kutokea tena Rais kutoka makabila nyerere aliyoyakataa.
 
In short kila mkuu wa mkoa afanye kazi aliyopewa kwenye mkoa wake au uteuzi
Albert Chalamila shut up fanya kazi yako ya ukuu wa mkoa wa Kagera funga domo lako kuparamia wengine

Hupimwi kwa kupanua domo kwa kuparamia wengine na domo lako
Utendaji unapimwa kwa kazi uliyopewa kwa matokeo ya kazi kwenye cheo chako cha Kagera si vinginevyo kuwa unajua kupanua domo sana kuwasema wengine

Behave yourself. usianze kuleta sintofahamu ndani ya Serikali na chama
 
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka anatajwa sana kwenye mbio za urais mwaka 2025 hasa ukizingatia ni kiongozi mnyenyekevu na mchapakazi sana tangu alipokuwa Simiyu, Dodoma na sasa Njombe.

Ni moja wa Wakuu wa Mikoa nadhani waliotajwa pia na RC Chalamila kuwa wako kwenye mbio za urais 2025 mimi binafsi yangu naona anafaa sana kuongoza ni kiongozi mzuri sana

Japo atakutana na mnyukano mkali kutoka kwa akina Madelu na Makamba lakini bado nyota yake inang'ara maana kila mahali anazungumzwa vizuri sana
Mmmmmmmh hapo atafifia kwa sababu binadamu sio poa
 
ndio nani huyo mtaka
 
sasa sijui form yeye atapata wapi
Tabu ya CCM uchaguzi ukikaribia tu huweko kamati nyingi za za Fitina na majungu ambazo.kazi zao huwa kuzushia wengine,kuwapaka matope nk

Tena wanakuwa na vyeo

Badala ya kuhangaika ku.perform kwenye nafasi zao wameteuliwa ndani ya chama na Serikali huhangaikia kufanya kazi za kamati za fitina na majungu kueleweka uchaguzi

Ndicho kinachotokea sasa
Akina Albert Chalamila hawatamki law bahati mbaya ni wasemaji wa kamati za Fitina na Majungu ambazo ziko kazini

Very sad
 
Back
Top Bottom