Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,985
- 285,496
Leo Tarehe 3/11/2022 kesi ya Wabunge Mamluki wasio na Chama baada ya kutimuliwa na kuvuliwa uanachama wa Chadema , inaendelea tena
Kama kawaida Wakili Msomi Peter Kibatala anaongoza Jopo la Mawakili wa CHADEMA.
Hawa Mwaifunga ndio Msaliti anayeendelea kuhojiwa kwa sasa , baada ya awali kesi kuahirishwa kutokana na kilichodaiwa Shahidi huyo kuugua .