Wanasiasa wanaoiba hela za serikali, kwa mgongo wa miradi, wanajua kuwa Moto upo?

Reality of heaven

Senior Member
Nov 2, 2022
108
350
Habari ndugu zangu,

Huwa najiuliza Sana, hivyi hawa wanasiasa wanaoiba hela za serikali, kwa mgongo wa miradi, wanajua kuwa Moto upo ??? Na dhambi ya wizi itawapeleka motoni???

Hivyi wanasahau kuwa kifo kitawajia ghafula, na wataondoka duniani wakiwa uchi?????

Wanajua kuwa shetani anawasubiria huko kuzimu???? Wanajua kuwa walikuepo wanasiasa waliotisha kwa kuwaibia wananchi lakini Leo wanachemka motoni?

Wanaomba sekunde 30 waje kutubu kwa kuwaibia wananchi lakini wamechelewa!!!

Niwaombe wanasiasa tumuogope Mungu!!! Utawadanganya wananchi kuwa wewe ni mzalendo lakini huwezi kumdanganya Mungu!!!

Na kifo kitakujia ghafula na hizo Mali za wizi ulizokaa nazo hutaondoka nazo!!

Fikiria Leo wananchi wanateseka maji ni mgao yamkini Kuna watu walioaminiwa wamesababisha leo watu wananangaika na ndoo!!!

Mungu atusaidie sana!
 
Wewe unaowaibia sadaka waumini wako unajua kwamba kuna moto?
 
Back
Top Bottom