Kwa haya niliyosikia na kuona Viongozi na Wanasiasa Tanzania nisikilizeni kwa Makini

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Mara nyingi sisi watumishi wa Mungu tunaponena jambo badala mtusikilizie basi mnajikita kutuangalia Kaliba zetu, kwamba we mtu uliyekuwa hujasoma utaniambia nini, mtu mwenye maskini tu unachakumshauri mtu anaye kuzidi kipato au mamlaka?

Sasa ni hivi ktk purukushani za siasa hasa hapa Afrika na Tanzania wale wanaotaka madaraka wanaweza kuhakikisha wanayapata kwa njia yoyote ile. Iwe kwa uganga au kwa kafara.

Kitabu cha Pili cha Nabii Samweli sura ya pilie kinaeleza haya yapata miaka 1200B.C kipindi ambacho Yoabu Jemedali wa Jeshi la Israel alilikuwa ktk mchakato wa kimya kimya kuchukua madaraka.

Huyu Mwamba alimuua Mtoto wa Daudi Wa Kwanza Kuzaliwa Absalome( sio kibanda).
Yoabu hakuishua hapo akamuua na Abneri mwana wa Neri aliyekuwa kiongozi wa Upinzani wakati huo.

Mungu na Mfalme Daudi akawalaani. Sehmu ya laani hiyo kama ifuatavyo, na nukuu

"Lawama ya mauaji hayo yawe juu ya kichwa cha Yoabu na jamaa yote ya baba yake! Jamaa ya Yoabu daima isikose mtu mwenye ugonjwa wa kisonono, au ugonjwa wa ukoma, au anayetembea kwa magogo au kuuawa kwa upanga, au mwenye kukosa chakula!” Yoabu na ndugu yake Abishai walimuua Abneri"

UCHAMBUZI WA LAANA
1. Tunaona Yoabu na ukoo wake woote wakilaaniwa magonjwa ya Ukoma yaani magonjwa sugu kama Moyo, figo, kisukari, presha, Inni yasiyotibika.

2. Kisonono hii huwakilisha maginjwa ya kuambukiza kama vile Ukimwi, Kisonono, Corona.

3. Ulemavu, hapa wanalaaniwa jama na ndugu wale mnaoshare damu, vitu ka.a Stroke, ajali na kupalalaizi vitawapata wewe mwenyewe au ndugu yako au ktk uzao wako.

4. mwenye kukosa Chakula kama vile ukame, au unasikia mzigo wako wa biashara ulikuwa unatoka china meli imezana n.k.

Tumeyaona tuliyoyaona. Tujifunze tuepushe vizazi vyetu laana za milele.
 
Ujinga mtupu
 
Sasa si ndio mpaka uamini hizo hadithi za hao jamaa?
 
Kutokana na wivu wake, Kaini alimuua kaka yake Habili kwakua alifanya mema mbele za watu na mbele za Mungu na Mungu alimpenda. Damu ya Habili ilikua juu ya Kaini, Mungu alimlaani na mbingu na ardhi vilimkataa, alikua mtu wa kutangatanga milele.

RIP Dr. JPM, RIP B.W. Mkapa, RIP Seif Sharif, RIP Kwandikwa, RIP Kijazi, RIP Mfugale, RIP Mahiga.
 
Mkuu

Kumbe wote hao kaini aliwaua!!?

Adhabu kali inamhusu kaini!
 
Kwa hio wimbi la nne la corona linaloanzia china halitowaacha SALAMA si ndio!!?

Ngoja nisubiri
 
CCM ina shida yake,Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya baada ya kuona kuwa Katiba hiyo itakuwa sumu kwa CCM na Wanaccm akaivuruga,Magufuri alichaguliwa enzi za Mfumo wa Vyama Vingi Baada ya kuona matakwa yake na Demokrasia haviendani akaanzisha ugomvi na vyama vya upinzani,taasisi binafsi,vyombo vya habari,wataalam na mwisho akafuta mikutano yote ya Vyama vya Upinzani lakini mwisho wa yote akahujumu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2022 kwa hofu ya kuumbuka kwa yale yote aliyoyafanya muda wote wa miaka mitano.Mama Samia ameona kwenye mitandao watu wanamsema vibaya ameamua Mchana kusiwe na umeme ili wanaomshambulia wasiwe na nafasi vile vile mtandao nao ni shida.CCM ina shida kweli kweli.
 
Hiyo ilikuwa haisaidii taifa
 
Kutokana na wivu wake, Kaini alimuua kaka yake Habili kwakua alifanya mema mbele za watu na mbele za Mungu na Mungu alimpenda. Damu ya Habili ilikua juu ya Kaini, Mungu alimlaani na mbingu na ardhi vilimkataa, alikua mtu wa kutangatanga milele.

RIP Dr. JPM, RIP B.W. Mkapa, RIP Seif Sharif, RIP Kwandikwa, RIP Kijazi, RIP Mfugale, RIP Mahiga.
Let these people of God rest in Peace
 
Absalom siyo Kibanda🤣🤣🤣🤣
Nakala aione kwenye faili:
His Majesty the King of Msoga Kingdom!
 
Back
Top Bottom