Ccm chama changu toeni ufafanuzi mapema.hizi ni hoja tano zinazohitaji majibu kabla ya 2025!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
ni kwanini mchakato wa wa kumtafuta mgombea urais 2025 UPELEKWE 2030?,
(2)AWAMU MOJA YA UONGOZI HUHESABIWA KWA MIAKA KUMI,KWA MAANA HIYO AWAMU YA TANO BADO HAIJAKAMILISHA MIAKA 10,KWA NINI HII INAITWA AWAMU YA SITA? (3)tufanye iende hivyo mnavyotaka je itakuwaje ikitokea japo hatuombei itokee kabla awamu ya sita haijakamilika yatokee yaliyotokea kwa jpm ,nchi itashikwa na vice mwingine ITATAKIWA IWE AWAMU YA SABA haraka haraka itatakiwa apewe uenyekiti wa chama! na hiyo awamu yake itatakiwa iende mpaka 2040! atakapokamilisha miaka yake kumi,je kikanuni hapo itakuwaje? Mtaua ndoto za vijana na demokrasia ,SHUGHULIKIENI 2025,ndiyo awamu ya 6 ianze kuhesabika ,kinyume chake mtaleta kazi,
 
Awamu ya 6 haipo. Mafisadi yanaogopa mchakato wa kuteua mgombea kwasababu hakika hawatorudi madarakani na tutawapelekea moto kichizi. 2025 Mungu aingilie kati mana tupo tayari kwa lolote.
 
Back
Top Bottom