Waafrika tumezidi kujifanya kuwa wanyonge sana

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
Katika kitu ambacho mimi sipendagi ni kuitwa mnyonge mbele ya wenye pesa zao au nguvu zao
Mimi hata niwe maskini kivipi kuniita mnyonge marufuku kabisa. Wakuniita mnyonge ni Mungu peke yake tu maana yeye ndo amekamilika kila kitu tofauti na apo tutaonana wabaya kabisa

Lengo langu nataka ni zungumzie hii tabia ya sisi watu weusi Kujifanya wanyonge mbele ya watu weupe
Unaweza kuta mtu mweupe na mweusi wanagombana au kutukanana atakaye jifanya mnyonge apo ni mtu mweusi ndo ataona ameonewa kwa hiyo hawezi kujitetea zaidi ya kusema una fanya haya yote kwasababu mimi ni mtu mweusi!

Kwa hiyo kuwa mtu mweusi ndo huwezi kusimama na kupinga upumbavu unao fanyiwa? Hali hiyo ni tabia ya unyonge Acheni unyonge hakuna aliye kamilika apa duniani yeye anaweza kuwa ana pesa lakini hana afya wewe una afya lakini huna pesa wote hatujakalika

Kwa hiyo usikubali mtu yeyote kuingia katika anga zako
 
Unyonge wetu ndio ulitufanya hata tupelekwe Utumwani.

Anakuja Mwarabu amekondeana na Gobole lake la Risasi moja anatusomba msululu wa Mijibaba tunaogopa hata kumuambush.

22a1f5798a63a8d8ea242d49b40303d01a333d59.jpg

Slaves-in-Bondage.jpg
 
Unyonge wetu ndio ulitufanya hata tupelekwe Utumwani.

Anakuja Mwarabu amekondeana na Gobole lake la Risasi moja anatusomba msululu wa Mijibaba tunaogopa hata kumuambush.

View attachment 2407498
View attachment 2407499
Anakuja Magufuri na kutuita wanyonge kadhibiti vyombo vya habari,vyama vya siasa,kaiba kura huku akijenga CHATO kwao kuwa nchi ya ahadi ndani ya Tanzania huru.
 
Back
Top Bottom