Nusrat Hanje aibwaga CHADEMA Mahakamani kwa hoja

Nusrat Hanje aibwaga CHADEMA Mahakamani kwa hoja

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,776
Reaction score
34,761
Mwanamama wa shoka Nusrat Hanje ameibwaga CHADEMA, ukweli usiopingika huyu mwanamama ni genius sana. Huko mbeleni kama chama chetu CCM ikiona inafaa basi tumchukue huyu Nusrat.

Hoja anazowasilisha dhidi ya mawakili vishoka ni hoja nzito ambazo sikuwahi kudhani kuna mwanachama wa CHADEMA anaweza kuwasilisha.

Huenda alikuwa ndio nguzu ya chama na si ajabu kwa sasa chama hakieleweki. Nusrat leo amedhihirishia ulimwengu kuwa wanawake wa shoka na wenye akili kubwa sana bado wapo wengi ila mfumo dume unawameza baadhi yao.

Nusrat Leo ameibwaga vikali CHADEMA na wasijue nini cha kufanya, ametoa hoja nzito ambazo mawakili vishoka wameshindwa kuzijibu.

Mama Samia nakuomba siku moja umfikirie huyu mwanamama Nusrat Hanje, ana akili na hoja nzito sana.

Pongezi nyingi kwa Nusrat Hanje mimi kuanzia leo ni mfuasi wako.

20221104_130342.jpg
 
Mwanamama wa shoka Nusrat Hanje ameibwaga chadema, ukweli usiopingika huyu mwanamama ni genius sana. Huko mbeleni kama chama chetu CCM ikiona inafaa basi tumchukue huyu Nusrat.

Hoja anazowasilisha dhidi ya mawakili vishoka ni hoja nzito ambazo sikuwahi kudhani kuna mwanachama wa chadema anaweza kuwasilisha.

Huenda alikuwa ndio nguzu ya chama na si ajabu kwa sasa chama hakieleweki. Nusrat leo amedhihirishia ulimwengu kuwa wanawake wa shoka na wenye akili kubwa sana bado wapo wengi ila mfumo dume unawameza baadhi yao.

Nusrat Leo ameibwaga vikali chadema na wasijue nini cha kufanya, ametoa hoja nzito ambazo mawakili vishoka wameshindwa kuzijibu.

Mama Samia nakuomba siku moja umfikirie huyu mwanamama Nusrat Hanje, ana akili na hoja nzito sana.

Pongezi nyingi kwa Nusrat Hanje mimi kuanzia leo ni mfuasi wako.
View attachment 2406561
Kwahiyo kibatala na leo kaangukia pua kama kawaida yake.

Nimeamini kuwa Karma sio kitu kizuri.
 
Mpuuzi wa kiwango cha lami wewe. Hapa mahakani umekaa upande gani? Mimi nakwambia Niko benchi la 3 la wasikilizaji pembeni ya huyu jamaa aliyevaa t-shirt ya chadema.
Unataka ujue ili iwe nn? Wewe Subiri nikuletee updates jinsi Nusrat anavyoibwaga chadema
 
Back
Top Bottom