Majaliwa ashtukia upigaji wa Bilioni 8 za zoezi la hereni za mifugo

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.

Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo wafugaji wanauziwa kwa Shilingi 1,750 kwa kila ng'ombe mmoja

Ufisadi huu ulilalamikiwa kwa muda mrefu na wafugaji wengi lakini Waziri wa Mifugo, Mashimba Ndaki alishupaza shingo na kuendelea na msimamo wa kuendelea kuwaibia wafugaji huku akiwatangazia vitisho mbalimbali ikiwemo kufungwa au kupigwa faini ya shilingi milioni 2 kila ngombe atakayekuwa hana hereni.

Hadi Waziri Mkuu anasitisha zoezi hilo tayari Wafugaji wameshapigwa Bilioni 8.8 ambapo hadi sasa hawajui hatma ya fedha zao hizo baada ya agizo la Waziri Mkuu kusitisha mpango huo.

Mashimba Ndaki kwa muda mrefu sasa amekuwa akilalamikiwa kwa utendaji mbovu hasa kushindwa kusimamia Wizara hiyo na kujitika kwenye jambo moja tu la kuhamasisha uvishaji hereni mifugo

Huku Wafugaji wakikabiliwa na matatizo mengi ikiwemo ukosefu wa malisho, mifugo kufa kwa kukosa chanjo na madawa, migogoro kushamiri ambapo wafugaji wamekuwa wakiuawa na wakulima maeneo mbalimbali nchini lakini yote hayo Waziri ameshindwa kuyashughulikia amejikita kwenye suala moja tu la kuuza hereni.

Heko Majaliwa kwa kubaini upigaji huu mkubwa uliofanywa na Waziri Ndaki kuwaibia wafugaji masikini Bilioni 8.8 hii ni Kashfa kubwa sana tunaamini Mama akirejea kutoka China atachukua hatua dhidi.
 
Nakuhakikishieni waziri Ndaki hafanywi lolote, ataendelea kua waziri Hadi 2025.
You can take this narrative to the bank.
Ndio shida yetu watu wa akili ndogo, Waziri Mkuu anaongelea wafugaji kuibiwa Bilioni 8 na Waziri Mashimba wewe unasema hataondolewa kwenye uwaziri kwani nani anayesema aondolewe Muulize Majaliwa aliyestukia huo wizi usituambie sisi
 
Umeandika kama vile hizo fedha ziliwekwa kwenye akaunti ya waziri.

Naomba kuuliza, hizo fedha zilikusanywa kwa njia gani?
1. Je! Wafugaji walitoa fedha taslimu? au,
2. Walilipa kwa mfumo wa "Control number" ambapo fedha ziliingia Serikalini?

Kama fedha zilipokelewa na Serikali sioni hoja ya kumshambulia waziri, labda kuwe na agenda ya siri dhidi yake.

Kikubwa kama kuna mapungufu katika zoezi, na Serikali imeyabaini na kusitisha kwa ajili ya maslahi ya pande zote ni jambo la kheri.
 
Umeandika kama vile hizo fedha ziliwekwa kwenye akaunti ya waziri.

Naomba kuuliza, hizo fedha zilikusanywa kwa njia gani? Je! Wafugaji walitos fedhs taslimu au walilipa kwa mfumo wa "Control number" ambapo fedha ziliinga Serikalini?

Kama fedha zilipokelewa na Serikali sioni hoja ya kumshambulia waziri, labda kuwe na agenda ya siri dhidi yake.

Kikubwa kama kuna mapungufu katika zoezi, na Serikali imeyabaini na kusitisha kwa ajili ya maslahi ya pande zote ni jambo la kheri.
Wewe kwa akili yako lipi jambo muhimu lilipaswa kuanza kwa wafugaji ni Hereni au chanjo, Maji na malisho ya malisho ya mifugo? ungekuwa umetoka familia za kifugaji usingeongea hivyo .
 
Mkuu, nafahamu uchungu ulionao. Binafsi, nimetokea katika familia hizo kama ilivyo kwetu watanzania tulio wengi wa kanda hiyo ila kwa sasa ni kweli sifugi.

Naomba unielimishe, nami nijifunze zaidi. Ila nimeomba ufafanuzi wa hoja chache pia.

Asante
 
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.

Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo wafugaji wanauziwa kwa Shilingi 1,750 kwa kila ng'ombe mmoja

Ufisadi huu ulilalamikiwa kwa muda mrefu na wafugaji wengi lakini Waziri wa Mifugo, Mashimba Ndaki alishupaza shingo na kuendelea na msimamo wa kuendelea kuwaibia wafugaji huku akiwatangazia vitisho mbalimbali ikiwemo kufungwa au kupigwa faini ya shilingi milioni 2 kila ngombe atakayekuwa hana hereni.

Hadi Waziri Mkuu anasitisha zoezi hilo tayari Wafugaji wameshapigwa Bilioni 8.8 ambapo hadi sasa hawajui hatma ya fedha zao hizo baada ya agizo la Waziri Mkuu kusitisha mpango huo.

Mashimba Ndaki kwa muda mrefu sasa amekuwa akilalamikiwa kwa utendaji mbovu hasa kushindwa kusimamia Wizara hiyo na kujitika kwenye jambo moja tu la kuhamasisha uvishaji hereni mifugo

Huku Wafugaji wakikabiliwa na matatizo mengi ikiwemo ukosefu wa malisho, mifugo kufa kwa kukosa chanjo na madawa, migogoro kushamiri ambapo wafugaji wamekuwa wakiuawa na wakulima maeneo mbalimbali nchini lakini yote hayo Waziri ameshindwa kuyashughulikia amejikita kwenye suala moja tu la kuuza hereni.

Heko Majaliwa kwa kubaini upigaji huu mkubwa uliofanywa na Waziri Ndaki kuwaibia wafugaji masikini Bilioni 8.8 hii ni Kashfa kubwa sana tunaamini Mama akirejea kutoka China atachukua hatua dhidi.
Atueleze mabilioni ya Symbion kama na yeye ana mgao wake
 
upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.
Acha kumchafua huyu waziri muungwana kuliko wote. Usitumike kama toilet paper kumchafua waziri huyu msafi asiye na shobo na mtu wala shombo la ufisadi
 
Huyo Ndaki ni mwizi na fisadi kama mafisadi wengine. Wakishirikiana na katibu mkuu wa wizara husika wamekula pesa nyingi kwenye suala zima la hereni za mifugo
 
Acha kumchafua huyu waziri muungwana kuliko wote. Usitumike kama toilet paper kumchafua waziri huyu msafi asiye na shobo na mtu wala shombo la ufisadi
Nimemchafua mimi au Majaliwa?
 
Mkuu, nafahamu uchungu ulionao. Binafsi, nimetokea katika familia hizo kama ilivyo kwetu watanzania tulio wengi wa kanda hiyo ila kwa sasa ni kweli sifugi.

Naomba unielimishe, nami nijifunze zaidi. Ila nimeomba ufafanuzi wa hoja chache pia.

Asante
Muulize Majaliwa aliyesitisha zoezi la hereni sio mimi
 
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.

Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo wafugaji wanauziwa kwa Shilingi 1,750 kwa kila ng'ombe mmoja

Ufisadi huu ulilalamikiwa kwa muda mrefu na wafugaji wengi lakini Waziri wa Mifugo, Mashimba Ndaki alishupaza shingo na kuendelea na msimamo wa kuendelea kuwaibia wafugaji huku akiwatangazia vitisho mbalimbali ikiwemo kufungwa au kupigwa faini ya shilingi milioni 2 kila ngombe atakayekuwa hana hereni.

Hadi Waziri Mkuu anasitisha zoezi hilo tayari Wafugaji wameshapigwa Bilioni 8.8 ambapo hadi sasa hawajui hatma ya fedha zao hizo baada ya agizo la Waziri Mkuu kusitisha mpango huo.

Mashimba Ndaki kwa muda mrefu sasa amekuwa akilalamikiwa kwa utendaji mbovu hasa kushindwa kusimamia Wizara hiyo na kujitika kwenye jambo moja tu la kuhamasisha uvishaji hereni mifugo

Huku Wafugaji wakikabiliwa na matatizo mengi ikiwemo ukosefu wa malisho, mifugo kufa kwa kukosa chanjo na madawa, migogoro kushamiri ambapo wafugaji wamekuwa wakiuawa na wakulima maeneo mbalimbali nchini lakini yote hayo Waziri ameshindwa kuyashughulikia amejikita kwenye suala moja tu la kuuza hereni.

Heko Majaliwa kwa kubaini upigaji huu mkubwa uliofanywa na Waziri Ndaki kuwaibia wafugaji masikini Bilioni 8.8 hii ni Kashfa kubwa sana tunaamini Mama akirejea kutoka China atachukua hatua dhidi.
WACHA NAE ALE KWA UREFU WA KAMBA YAKE
 
Back
Top Bottom