Vyuma vya ATCL vinapasua anga la kimataifa hadi Uchina na America bila figisu wala " kambi popote"
Bunge limeomba sasa ATCL ikabidhiwe ndege hizi kutoka Wakala wa Ndege za Serikali kwa sababu...
Ajali ya jana imesababishwa na mazoea, vifo vya jana vimetokana na mazoea. Ule Uwanja hauna Taa za pembeni. Hauna Aproach Tower
Uwanja hauna Zima Moto
Rubani pale anatua kutokana na uzoefu wake...
Swalama wandugu
Leo report ya CAG imejadiliwa na kufanyika maazimio na kuna haja ya adhabu ya kunyonga wezi wa pesa za umma narudia tena KUNYONGA inasikitisha sana MTU anaiba sehemu A anahamishwa...
Inasikitisha sana huyu reporter wa BBC yuko LAGOS Nigeria ndiyo ana riport habari ya ajali ya ndege ya Precision air ya Mwanza akiwa lagos. Hivi bbc hawana reporter mwanza au Dar es salaam?
Ukioanga misafara ta hawa watawala unaweza fikria nchi imekamilika kila nyanja kumbe sio hivyo, Fikiria dhana za uokoaji zenyewe ni mtihani sana, but V8 ni kama zote tena wana brand new kwa sasa...
Serikali mpya ya Kenya chini ya waiziri wa Uchukuzi ili ahisi kuwrka wazi kwa umma mkataba wa ujenzi wa reli ya SGR kati ya China na Kenya ili raia wajue kikichopo ndani ya mkataba huo.
Na jana...
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kama MSD ikipokea ODA ya Halmashauri na kujikuta haina Dawa ijibu ndani ya Saa 24 ili DED akanunue Sekta binafsi
Na kama Dawa zipo basi zifike kwenye...
Hii chi sio siri watawala wanawekeza sana kwenye wizi na kwenye anasa, hizo sehemu mbili ndio uwekezzaji unafanyika ila sio kwa mambo ya msingi.
Na raia nao ni full mizaha ukipitia socila media...
Wakuu, Jana usiku kasri la malkia wa Uingereza wametangaza kifo cha Malkia Elizabeth wa Pili. Hakika ni msiba mkubwa sana na inatarajiwa msiba huu utafuatiliwa na mamilioni ya watu ulimwengu...
Watanganyika nawasalimu.
Naomba ufafanuzi wenu juu ya utendaji kazi wa TAKUKURU. TAKUKURU wapo wilaya na mikoa yote ya Tanzania na miradi hii inafanyika huko huko walipo TAKUKURU. Nimekuwa...
"....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais."
Tarimba.
NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya...
Viongozi watanzania huwa hawajali. Hata mfe mamia au maelfu kwenye ajali moja hawawezi katisha safari zao, sembuse makumi.
Shida huwa hakuna uwajibishaji.
Utawasikia wapiga tarumbeta wao...
Majuzi hapa tumemsikia katibu wa propaganda wa CCM akijimwambafy kuhusu uimarishwaji wa kila sekta nchini kupitia serikali ya CCM.
Ameenda mbali zaidi kutuita sisi wakosoaji kama.maadui wa mama na...
CCM IWEKE KUMBUKUMBU YA JPM NA SIO TAIFA!!!
Kuna wito unatolewa na wabunge na makada wa ccm kuwa Rais mwendazake John P. Magufuli atengewe sikukuu ya kitaifa kuenzi mchango wake kwa taifa,hoja...
Sasa hapo ndio utashuhudia badala ya kwenda Wawuvi waliofanya uokoaji wanapelekwa UVCCM tena wa Dodoma
Utamkuta na yule alifunikwa mwamvuli wakati wenzake wanaokoa wahanga yumo safarini...
Siku moja baada ya Bunge kuazimia watumishi wa Wizara ya Nishati, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango na TANESCO walioshiriki katika mchakato mzima wa uingiaji...
Nimefikiria sana baada ya kuona picha ya kiongozi mmoja kashikiwa mwamvuli asilowanishwe na matone ya maji huku roho za wananchi wake zikiangamia kwa maji!
Bado nawaza sana, huyu nae ni muAFRIKA...
Wana JF
Kwanza nitoe salama zangu za pole kwa wahanga wote wa Ajali ya precisionairtz.com iliyotokea Bukoba.
Nimejaribu tu kuwaza kama hii ingekuwa ni ajali ya basi , tungeona haya tuliyoyaona...
BUNGE limepitisha azimio la kuitaka Serikali iharakishe utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandarii ya Bagamoyo.
Azimio la Bunge hili la Bunge kuhusu Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo...