Uzuri wa Kiongozi kuwa Mhandisi na ubaya wa Kiongozi kuwa mtu wa Sanaa

Uzuri wa Kiongozi kuwa Mhandisi na ubaya wa Kiongozi kuwa mtu wa Sanaa

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,737
Reaction score
6,776
China is an engineers' country, but US and Germany are now lawyers' countries: former German chancellor
By: Global Times | Published: May 04, 2026 04:01 PM

"China is, as the US and Germany in the 19th century, an engineers' country. And now we are lawyers' countries," said former German chancellor Olaf Scholz at a forum at Harvard Kennedy School recently.

"We cannot explain to our people why other countries can build a national railway system in 20 years while we cannot build a commuter line in 20 years. And that has to be changed, obviously," Scholz said.
 
Hiyo siyo sababu sana; integemea stability ya olitical system na character za viongozi wenyewe. David Ben-Gurion aliyeijenga Israle alitaka kusoma Mechanical Technian lakini hakuwa na sifa, akaishia kusoma sanaa. Lakini aliijenga sana Israel. Lee Kuan Yew wa Singapore alikuwa mwanasheria, unaona alivyoigeuza Singapore kutoka slums had kuwa nchi yenye skyscrapers tupu.

Tatizo kubwa kwa nchi Kama Marekani kwa sasa ni siasa nyingi. Democrat na Republicans wanakuwa wanavutana kisiasa tu badala ya kushughulikia matatizo ya nchi kama ilivyokuwa zamani. Zama hizo baado ya uchaguzi walifanya kazi pamoja hadi wakati wa uchaguzi mwingine, lakini siku hizi wanafanya kampeini kila siku. Ujerumani na nchi nyingi za Western europe ziko hivyo hivyo japo kwa viwango tofauti.

China wanafanikiwa siyo kwa sababu ya viongozi kuwa engineers ila kwa sababu wana lengo moja lankutaka kufanikiwa hadi kuwankinara wa dunia. Hawana siasa za kupingana. Hata hvyo kutokuwa na siasa za upinzania wakati mwingine ndiko kunakoiharibu nchi kama Urusi.
 
For some reason some cray x2 people in JF think you are clever; I am not convinced.

Based on common knowledge asilimia kubwa ya self made billionaires ni “engineers” apparently you don’t know that fact idiot.
IMG_8253.jpeg

You can search that to verify, the mere fact you didn’t know that. It says how shallow of a person you are; that’s me being petty.
 
we itakuwa umesomea sanaa bila shaka
 
Hana analolijua ni kibabu kimoja cha hovyo tu.
yeye anadhani labda tunazungumzia kiongozi mkuu kumbe sisi tunazungumzia system ya uongozi ikitawaliwa na viongozi wengi wa sayansi mara nyingi hujikita kwenye kutatua matatizo kisayansi na ndipo maendeleohupatikana..hio singapore sawa huyo raisi wao huenda alikuwa sio mwanasayansi ila tazama alichofanya alipeleka wanafunzi wengi nje hasa marekani wakasomee engineering
 
Ndio shida ilipo kiongozi, upo sahihi kabisa kuna mambo wala sio ya kubishania; shida ni watu wa kuelewa hoja yako.

Safu ya uongozi wa China ni engineers, kuanzia kwa ‘Xi Jinping’ lakini wao walikuwa na roadmad.

Hiyo ni story nyingine to how engineers propelled their economy,
 
mfano mzuri si tunao magufli
Kwani JPM alikuwa Engineer?

Kimsingi kinacholeta maendeleo au kukwamisha maendeleo kwenye nchi ni mifumo ya utawala na sera za nchi, siyo profession za watawala.

Mfano kwa Tanzania, kwa jinsi ufisadi, ubadhirifu, wizi wa rasilimali za taifa ulivyotamalaki, pamoja na ubinafsi, haiwezekani maendeleo kupatikana bila kubadilisha kwanza mifumo mibovu ya sasa.

Nchi nyingi hurudi nyuma si kwa kukosa rasilimali, bali kwa sera mbovu, usimamizi mbovu, taasisi dhaifu, ukosefu wa uadilifu, na kutotumia watu wake ipasavyo.

Nchi inatakiwa kuwa na TAASISI imara zinazofanya kazi vizuri bila kujali aliyepo madarakani ili kupiga hatua, siyo mtawala wa profession fulani..

View: https://youtube.com/shorts/xOPg7KF5DM4?si=GjdKEkRGFhTtJo0k
 
kwetu hata hiyo sanaa yenyewe pia hakuna, huku kwetu ni illiterate, kwa maana hata sanaa tu kama ukiisomea vizuri bado kuna skills ambazo utapata aidha kwenye kufanya projects, presentation na mengineyo yote haya yanaongeza uwezo wa kufikiri, sasa ukiangalia kwetu mtu jinsi anavyoongea kwa mipasho and no substance ni wazi kabisa kwamba hakuna social skills, hata diplomacy tu kuongea kama kiongozi hakuna.

sisi kwetu ni madrasa ya kukariri Kurani basi, na ndiyo maana wana inferiority complex kubwa na kujipachika Phds za kupewa kila mahali, i mean, kila raisi duniani anaweza kupata Phds za heshima ktk Univerity xyz akiamua hivyo dunia nzima ingejaa maraisi wenye Phds lkn hawafanyi hivyo, kwa nini? kwa nini kwa mf. B.Mkapa hakuhangaika na Phds za kupewa? kwa nini akina T.Mbeki au hata Kagame mwenyewe na Uhuru wote mbona hawangaiki na Phd ya heshima? ...
 
Kiongozi mzuri ni yule anae wasikiliza na kujali watu, mwenye maono na mipango ya muda mfupi na mrefu, mwenye kulinda rasili mali za nchi na ingawa sio kwa umuhimu (anaeweza akanyonga mafisadi na wabadhirifu hadharani) kisha vizazi vitajenga utamaduni wa kufanya kazi na sio wizi.
 
kwa nini kwa mf. B.Mkapa hakuhangaika na Phds za kupewa?
Mkuu,
Mkapa alikuwa na PhD nyingi za kupewa, sema tu hakuwa na ulimbukeni wa kujiita Daktari Benjamin 😄

Baadhi ni hizi hapa:
👇
1998 Soka University Japan Honorary Doctorate
1999 Morehouse College USA Honorary Doctorate
2003 Open University of Tanzania Tanzania Honorary Doctorate

2005 National University of Lesotho Lesotho Honorary Doctorate
2005 Kenyatta University Kenya Honorary Doctorate
2006 University of Dar es Salaam Tanzania Honorary Doctorate

2007 Newcastle University UK Doctor of Civil Law
2008 University of Cape Coast Ghana Doctor of Letters
2009 Makerere University Uganda:
Honorary Doctorate of Laws
 
kwetu hata hiyo sanaa yenyewe pia hakuna, huku kwetu ni illiterate, kwa maana hata sanaa yenyewe kama ukiisomea vizuri bado kuna skills ambazo utapata aidha kwenye kufanya projects, presentation na mengineyo yote haya yanaongeza uwezo wa kufikiri, sasa ukiangalia kwetu mtu jinsi anavyoongea kwa mipasho ni wazi kabisa kwamba hakuna social skills, hata diplomacy tu kuongea kama kiongozi hakuna.

sisi kwetu ni madrasa ya kukariri Kurani basi, na ndiyo maana wana inferiority complex kubwa na kujipachika Phds za kupewa kila mahali, i mean, kila raisi duniani anaweza kupata Phds za heshima akiamua hivyo dunia nzima ingejaa maraisi wenye Phds lkn hawafanyi hivyo, kwa nini? kwa nini kwa mf. B.Mkapa hakuhangaika na Phds za kupewa? kwa kini akina T.Mbeki au hata Kagame mwenyewe na Uhuru wote mbona hawangaiki nPhd ya heshima? ...
Duh wewe ni mtu mzima ila una paragraph za kishamba sana
 
Mkuu,
Mkapa alikuwa na PhD 9 za kupewa, sema tu hakuwa na ulimbukeni wa kujiita Daktari Benjamin 😄

Ni hizi hapa:
👇
1998 Soka University Japan Honorary Doctorate
1999 Morehouse College USA Honorary Doctorate
2003 Open University of Tanzania Tanzania Honorary Doctorate

2005 National University of Lesotho Lesotho Honorary Doctorate
2005 Kenyatta University Kenya Honorary Doctorate
2006 University of Dar es Salaam Tanzania Honorary Doctorate

2007 Newcastle University UK Doctor of Civil Law
2008 University of Cape Coast Ghana Doctor of Letters
2009 Makerere University Uganda

sijawahi kusikia lkn hata siku moja akiitwa dr.Mkapa, labda nilipitwa, lkn nasikia kila mahali dr kikwete, dr. samia ...
 
Wanasiasa hasa viongozi hawa wa huku kwetu , wanaosomea sheria ni waongo kama sheria yenyewe. Hapa bongo, wanapaishwa sana , utasikia ''wakili msomi'' kazi kubwa ni porojo .

China kama wangekuwa wanafanya siasa kama bongo , basi wasingefika pale tena hata kugawanyika..Vijana wafanye kazi , mambo ya siasa ni porojo nchi ishikwe na wanasayansio sio wanasheria.
 
For some reason some cray x2 people in JF think you are clever; I am not convinced.

Based on common knowledge asilimia kubwa ya self made billionaires ni “engineers” apparently you don’t know that fact idiot.
View attachment 3583942
You can search that to verify, the mere fact you didn’t know that. It says how shallow of a person you are; that’s me being petty.
The insult part was not necessary.
The points you laid on the table were excellent!
Avoid Ad-hominen.
 
The insult part was not necessary.
The points you laid on the table were excellent!
Avoid Ad-hominen.
Despite of my tolerance towards her, some people don’t grasp when they are being tolerated until you vile them,

Huyo malaya we have nothing in common; mara kadhaa ana ni quote na kuongea ujinga.

Despite the annoyance of those who read my posts and advise to ignore her( I have always tolerated her.

But some people don’t get it, until you do the unnecessary. This whore actually believes knows me
 
we itakuwa umesomea sanaa bila shaka
Mjukuu wangu; mimi ni injinia na nimeshafundisha Engineering katika vyo vikuu vingi sana kaba ya kutumia chuo kimoja. Mada ya kusema kuwa kiongozi wa nchi akiwa I Kia basi nchi inaendelea siyo kweli; maendeleo ya nchi yanatokana na character za viongozi na political system ya nchi ikiwa ni pamoja kuwa na Itawamba wa sheria..
 
Back
Top Bottom