Usalama kwa Dkt. Bashiru: Lolote likimtokea tumewajua wabaya wake

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Hatuwezi kuamini kwamba Mtaishia kumsema sema kwenye hizo Press release pekee.

Kwa tunavyowajua CCM na Wahuni Gang wake, ni vema tuwaambie mkae mkijua hilo, kwamba maadamu tumewaona hadharani mkimshambulia kwa hasira kali.

Na pale atakapopatwa na lolote lile baya, hatutawaacha na nyinyi mkiendelea kupongezana, kama mlivyokwishakuzowea!

Umma umewajua!
Umma unawatizama!
Umma hauna Furaha nanyi!
Umma umekereka na uozo!
Umma unaumia na #Tozo!
Umma unakereka na #Giza!
Umma hauna Amani mitaani!
Umma unaumia na Bei holela!
Wajasiriamali wako Hoi!
Wamachinga wako Hoi!

Jasho lao linaliwa na wenye Meno. Mkiambiwa Ukweli mnakuwa Mbogo!

Amani mmebaki nayo nyinyi waimba mapambio,wakati hali ya mtanzania ikiporomoka kila uchao wakati nyinyi mnapishana kwenye milango ya Ndege mkijiandaa kuruka na kutua ughaibuni.

Watanzania wengi wanapishana kwenye Ofisi za mikopo Umiza kwa kusukumwa na ugumu wa Maisha. Watanzania wengi wamegeuka wacheza Kamari za kubashiri mipira kwenye vibanda Umiza.

Watanzania wengi wamegeuka watumwa wa Tatu Mzuka na So Many Of The Kind!

#Tutasimama na #Bashiru pamoja na wakweli wote wanaoyajua machungu yetu!

Machawa mkae Mguu Sawa!

View attachment 2423645
 
Nashangaa sana unakuta daily unaropoka humu JF utafikiri kuna jipya litatokea inabidi uongoze mapambano either barabarani au kwenye media Live hapo utakuwa umefanya jambo why unaogopa kufanya hivi?
 
Hata usichukulie serious Sana hao wanaomnanga BASHIRU leo ndio haohao kesho watamsifia pale mambo yakigeuka Kama ya tarehe 21 Machi 2O21 maisha n Kama marathon TU anayemaliza wakawanza hupongezwa haijalishi alianzaje

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu issue kwao kwa sasa ni fedha zaidi.

Hatuwezi kuamini kwamba wataweza kumuacha salama yule anayeonekana kuhatarisha ulaji wao.
 
Chawa Bashiru alikuwa mtu mkubwa sana katika uongozi wa nchi wakati utekaji na viroba vimepamba moto, alikaa kimya na hakuwahi kusema chochote, tuondolee ujinga
Mjinga ni wewe ambae unasadiki bila kuwa na ushahidi!
Mpaka leo tokeni mtuambie ni familia ngapi zinazowatafuta ndugu zao?

Hivyo viroba mpaka leo vimebaki kuwa slogan ya wakosa sera!

Wajinga kama wewe Empty Skull Minded huwa mnajazwa kwa ulaini tu!
JamiiForums896815200.jpg
 
Nashangaa sana unakuta daily unaropoka humu JF utafikiri kuna jipya litatokea inabidi uongoze mapambano either barabarani au kwenye media Live hapo utakuwa umefanya jambo why unaogopa kufanya hivi?
Na ingekuwa ni kazi bure,isingekukera wewe hadi kunijibu ulivyonijibu!

Hii ni njia mojawapo na sahihi zaidi.
Mjuwe tunawajua na kuwaona!

Siku yakitimia ndio mtajua mnavyojulikana!
 
Hatuwezi kuamini kwamba Mtaishia kumsema sema kwenye hizo Press release pekee.

Kwa tunavyowajua CCM na Wahuni Gang wake, ni vema tuwaambie mkae mkijua hilo, kwamba maadamu tumewaona hadharani mkimshambulia kwa hasira kali.

Na pale atakapopatwa na lolote lile baya, hatutawaacha na nyinyi mkiendelea kupongezana, kama mlivyokwishakuzowea!

Umma umewajua!
Umma unawatizama!
Umma hauna Furaha nanyi!
Umma umekereka na uozo!
Umma unaumia na #Tozo!
Umma unakereka na #Giza!
Umma hauna Amani mitaani!
Umma unaumia na Bei holela!
Wajasiriamali wako Hoi!
Wamachinga wako Hoi!

Jasho lao linaliwa na wenye Meno. Mkiambiwa Ukweli mnakuwa Mbogo!

Amani mmebaki nayo nyinyi waimba mapambio,wakati hali ya mtanzania ikiporomoka kila uchao wakati nyinyi mnapishana kwenye milango ya Ndege mkijiandaa kuruka na kutua ughaibuni.

Watanzania wengi wanapishana kwenye Ofisi za mikopo Umiza kwa kusukumwa na ugumu wa Maisha. Watanzania wengi wamegeuka wacheza Kamari za kubashiri mipira kwenye vibanda Umiza.

Watanzania wengi wamegeuka watumwa wa Tatu Mzuka na So Many Of The Kind!

#Tutasimama na #Bashiru pamoja na wakweli wote wanaoyajua machungu yetu!

Machawa mkae Mguu Sawa!

View attachment 2423645
Tuwawaorodhesha wote wanaomtisha Dr.BASHIRU ili yakimtokea ya TUNDU LISSU tuwajue
 
Siasa za kutekana, kutesana, kuuana na kufunguliwa makesi yasiyonna dhamana kama utakatishaji pesa ziliondoka na yule mungu wa Chato Machi 17, 2021.

Bashiru asiwe na wasiwasi kwa kuwa ametoa maoni yake na Samia anaheshimu maoni ya watanzania kwa vile ni haki ya kikatiba.
 
Hatuwezi kuamini kwamba Mtaishia kumsema sema kwenye hizo Press release pekee.

Kwa tunavyowajua CCM na Wahuni Gang wake, ni vema tuwaambie mkae mkijua hilo, kwamba maadamu tumewaona hadharani mkimshambulia kwa hasira kali.

Na pale atakapopatwa na lolote lile baya, hatutawaacha na nyinyi mkiendelea kupongezana, kama mlivyokwishakuzowea!

Umma umewajua!
Umma unawatizama!
Umma hauna Furaha nanyi!
Umma umekereka na uozo!
Umma unaumia na #Tozo!
Umma unakereka na #Giza!
Umma hauna Amani mitaani!
Umma unaumia na Bei holela!
Wajasiriamali wako Hoi!
Wamachinga wako Hoi!

Jasho lao linaliwa na wenye Meno. Mkiambiwa Ukweli mnakuwa Mbogo!

Amani mmebaki nayo nyinyi waimba mapambio,wakati hali ya mtanzania ikiporomoka kila uchao wakati nyinyi mnapishana kwenye milango ya Ndege mkijiandaa kuruka na kutua ughaibuni.

Watanzania wengi wanapishana kwenye Ofisi za mikopo Umiza kwa kusukumwa na ugumu wa Maisha. Watanzania wengi wamegeuka wacheza Kamari za kubashiri mipira kwenye vibanda Umiza.

Watanzania wengi wamegeuka watumwa wa Tatu Mzuka na So Many Of The Kind!

#Tutasimama na #Bashiru pamoja na wakweli wote wanaoyajua machungu yetu!

Machawa mkae Mguu Sawa!

View attachment 2423645
Malipo ni hapa hapa. Leo Dr Bashiru anaishi kwa hofu?

Vipi wale waliotengenezewa kesi za mauaji na ubakaji wakaozea jela kwa sababu tu alitaka majimbo na kata ziwe wazi ili ccm ishinde?

Dhambi ni mbaya sana hasa Mungu akiamua kusikiliza vilio vya watu wake.
 
Hatuwezi kuamini kwamba Mtaishia kumsema sema kwenye hizo Press release pekee.

Kwa tunavyowajua CCM na Wahuni Gang wake, ni vema tuwaambie mkae mkijua hilo, kwamba maadamu tumewaona hadharani mkimshambulia kwa hasira kali.

Na pale atakapopatwa na lolote lile baya, hatutawaacha na nyinyi mkiendelea kupongezana, kama mlivyokwishakuzowea!

Umma umewajua!
Umma unawatizama!
Umma hauna Furaha nanyi!
Umma umekereka na uozo!
Umma unaumia na #Tozo!
Umma unakereka na #Giza!
Umma hauna Amani mitaani!
Umma unaumia na Bei holela!
Wajasiriamali wako Hoi!
Wamachinga wako Hoi!

Jasho lao linaliwa na wenye Meno. Mkiambiwa Ukweli mnakuwa Mbogo!

Amani mmebaki nayo nyinyi waimba mapambio,wakati hali ya mtanzania ikiporomoka kila uchao wakati nyinyi mnapishana kwenye milango ya Ndege mkijiandaa kuruka na kutua ughaibuni.

Watanzania wengi wanapishana kwenye Ofisi za mikopo Umiza kwa kusukumwa na ugumu wa Maisha. Watanzania wengi wamegeuka wacheza Kamari za kubashiri mipira kwenye vibanda Umiza.

Watanzania wengi wamegeuka watumwa wa Tatu Mzuka na So Many Of The Kind!

#Tutasimama na #Bashiru pamoja na wakweli wote wanaoyajua machungu yetu!

Machawa mkae Mguu Sawa!

View attachment 2423645
Kwani aliyempiga Tundu lissu humjui? saa nane humjui? mbona uko kimya mlifanya nini?
 
Hiv kweli Kama Taifa kaulimoja ya Dr Bashir imeteka hoja za Taifa zima la watu 61mil na viongozi wa hovyo wana weweseka kama wana sesere ssa naona haja ya kuwa #KATIBA MPYA
NA CCM WAMECHOLA KUONGOZA TAIFA HILI NA WAONDOKE MAAANA MATUMBO YAO YAMEVIMBIWA HAWANA WNALOJUA
Changamoto lukuki ila wote ssa wansakam Dr Bashiru
 
Double standard haitakiwi ,Kinana aliongea na wakulima na Bashiru aliongea na wakulima pia ,why wamshambulie Bashiru tu?
CCM ina maajabu na Vioja vyake!

Huyohuyo Kinana aliwahi kuwaita wenzie mizigo ndani ya CCM na Serikali yake.
Lakini hakuguswa!

Kinana aliwahi kuwaita wenzie Magamba,ingawa Magufuli ndie alikuja kuyaondoa hayo Magamba!
 
Hiv kweli Kama Taifa kaulimoja ya Dr Bashir imeteka hoja za Taifa zima la watu 61mil na viongozi wa hovyo wana weweseka kama wana sesere ssa naona haja ya kuwa #KATIBA MPYA
NA CCM WAMECHOLA KUONGOZA TAIFA HILI NA WAONDOKE MAAANA MATUMBO YAO YAMEVIMBIWA HAWANA WNALOJUA
Changamoto lukuki ila wote ssa wansakam Dr Bashiru
Mimi pia sawia na wewe kimawazo!
 
Back
Top Bottom