Rais Samia ikupendeza tuitumie mitambo ya IPTL

Muhumba wa Mukinyaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2022
Posts
683
Reaction score
1,256
Kwanza nianze kwa kusema pole kwa majukumu hasa kipindi hiki kigumu cha mgao mkali wa Umeme na maji

Nilikuwa nashauri,ile mitambo ya IPTL itumike kwa sasa kuzalisha umeme..najua hapa kati kuna mengi tuliyasikia ikiwemo kwamba tumeitaipisha na kuwa Mali yetu.

Ile bajeti ya Kigoma ya kuzalisha umeme kabla ya Kigoma kuungwa kwa gridi ya Taifa itumike
Kwa ufupi wajasirimali tuna hali mbaya ,wajukuu zako hawajui kesho yao
Naomba kuwasilisha
Asante
 
Haya yote ni tunaandaliwa kurudi kwa akina IPTL
 
Kwanza nianze kwa kusema pole kwa majukumu hasa kipindi hiki kigumu cha mgao mkali wa Umeme na maji

Nilikuwa nashauri,ile mitambo ya IPTL itumike kwa sasa kuzalisha umeme..najua hapa kati kuna mengi tuliyasikia ikiwemo kwamba tumeitaipisha na kuwa Mali yetu.

Ile bajeti ya Kigoma ya kuzalisha umeme kabla ya Kigoma kuungwa kwa gridi ya Taifa itumike
Kwa ufupi wajasirimali tuna hali mbaya ,wajukuu zako hawajui kesho yao
Naomba kuwasilisha
Asante
Sisi raia tunajua mitambo ya iptl sasa inamilikiwa na tanesco kwa hivyo ni mali ya umma. Tunajua singa na rugemalila wamefyata mkia hila zao kuzulumu umma wa watanzania. Magufuli aliwapa kichapo tena kwa mujibu wa sheria iliyosimamiwa kiadilifu. Kila mara kuna uvumi eti watafungua madai sijui wataanzia wapi.
Kwa hivyo ule mpango wa kugeuza mitambo ya iptl kutumia gesi bora ingefanyika sasa ili wananchi wafaidike na huu uwekezaji uliyogeuka jinamizi.
 
Kwanza nianze kwa kusema pole kwa majukumu hasa kipindi hiki kigumu cha mgao mkali wa Umeme na maji

Nilikuwa nashauri,ile mitambo ya IPTL itumike kwa sasa kuzalisha umeme..najua hapa kati kuna mengi tuliyasikia ikiwemo kwamba tumeitaipisha na kuwa Mali yetu.

Ile bajeti ya Kigoma ya kuzalisha umeme kabla ya Kigoma kuungwa kwa gridi ya Taifa itumike
Kwa ufupi wajasirimali tuna hali mbaya ,wajukuu zako hawajui kesho yao
Naomba kuwasilisha
Asante
Mmezunguka wee na na mgao kumbe target ndio hiyo?,haya iwasheni muendelee kula mema ya hii nchi ya mazuzu
 
Yaani ndio uwezo wako wakufikiria umeishia hapa?..yaani watoto wafe njaa ,ilihali jirani ana chakula cha kutosha,kisa tu,mligombania demu bar..

Pia si tuliambiwa hiyo mitambo imetaifishwa kipindi cha JIWE,sasa kwanini isitumike?..
Natamani ungekuwa hata unafanya biashara hizi ndogo,labda ungenielewa
 
Back
Top Bottom