Bulembo ulimkosea sana Bashiru, utajuta kuzaliwa. Jiandae kumsalimia Mbowe soon

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,363
''Ukizungumzia watu walio uvuruga umoja wa wazazi ni Mzee Bulembo na wengine, ukampeni meneja wake kwa Mzee Magufuli aliununua kwa pesa nyingi Ili kuficha uchafu wake'' ni kauli ya mwana ccm kindaki ndaki ambae alikuwa kwenye team iliyokwenda kuchunguza na kurudisha Mali A ccm."

""Sasa Magufuli katika uhai wake hakupenda kabsa kukorofishana na Bulembo kwa sababu alipewa taarifa nyeti jinsi alivyonunua nafasi ya ukampeini meneja Ili kujiweka karibu na Waridi, na hata baada ya uchaguzi wapo walio mtaka Magufuli ampe Ubalozi Bulembo ok la Magufuli alikataa kwa sababu alijua kabisa sio msafi," Alichokifanya mwendazake ni kumpa nafasi ya ubunge tu."

"Na pia Ili hasipotee alimpa na maanae nafasi,ya ubunge tatzo likatokea Binti ake akaingia bungeni akaishia kuwa mtafunwaji na wapinzani akiweko zitto kabwe Mzee magu akauzika."

"Sasahivi Bulembo anajitokeza kumnanga Bashiru kwa kosa gani? Ni kweli tulimfata arudishe shule aliyojiuzia yeye na wenzake, na hakujibu alivyosema kama ana ushaidi autoe hapa haache porojo zake"

"Sasa ninakwambia Mwandishi, yeye anadhani kifo Cha Magufuli basi ndo wanarudi barabarani anajindangaya yeye na wenzake, wanajidanganya. Nchii sio chama pekee tulipokuwa tumefikishwa na Mzee Magufuli wenye nchi walishajua ukweli ni upi."

"Bulembo na genge lake, wakina Nape, Makamba, na wazee baadhi wanajidanganya, wewe uoni hujuma ya Makamba kupitia Tanesco? Huoni maneno ya mwiguru dhidi ya deni la Taifa? Hivi Magufuli alikopeshwaje na watu alio watusi kira siku? Hizo ni ujuma!"

"Hivi wakimkopeshaje wakati haendi kwao?mawaziri wenyewe walisafiri under permit yake, kama ni kweli alikopa watuoneshe mikataba ya mikopo aliyoisaini mbona Yao wanaonesha watuoneshe aliyosaini Haina tofauti na ya kwao wanayosaini. Watuoneshe waache porojo"

"Mimi narudia labda nife, lakini nikiwa hai Bulembo hata kama sio leo katika utawala huu wa Samia wowote, ule Mali ambazo aliziuza enzi za uongozi wake atazitapika na angekuwepo mwendazake Bulembo usingemsikia kamwe."

''Bulembo sio wa kuongea,ni kibaka kama vibaka wengine, mtoto wa mjini Sanaa mhaya yule nashangaa hata Magufuli ubunge alimpa wa Nini ilihalii akijua ni miongoni mwa mafisadi Bapa''

''Sasa Mimi nasema akiendelea kumnga Bashiru Cha Moto atakipata'

Ili andiko sio maneno ya sifi leo ni maneno ya mwanaccm kindaki ndaki aliyekuwepo kwenye kamati ya uchunguzi wa Mali za ccm, naomba kuwakilisha.
 
Hili ni bandiko la mfa maji tu wewe mwenyewe unakili kuwa Magufuli alimpa Ubunge yeye na mwanae sasa wewe uoni kuwa Bulembo ni zaidi yako?
 
Sasa tutajuaje yeye amekufa or not wakati Hata jina hamjatutajia? Habari za mtindo huu bila kuweka jina la mzungumzaji ni sawa na porojo tu mkuu
 
Tunasubiri majina ya wabunge na viongozi walionunuliwa na Polepole kama walivyotuhaidi "Wahuni"

Jiwe alikuwa master Mind asikwambie mtu, taarifa ya waliotafuna Mali za chama ipo bado mbichi...ajabu wenye softcopy na hard copy sio "wenye chama" ni watu wa kawaida ambao wanaipenda Tanzania, mashambulizi dhidi ya Bashiru ni ile kamati ya uchunguzi wa Mali za chama!

Watu wamekopea mikopo benki, wengine wamejenga vitega uchumi humo, nk na hao wanahasira Sana wapo tayari kwa lolote, yaani wao chama kife au kibaki mradi walindwe dhidi ya wizi wao basi,
 
Nilijua bandiko linalo tokana na ukweli haliwezi kosa watu wenye Akili kama wewe hapa jf wapo wanao kashifu hawajui kinachoendelea.
 
M

Mkuu sijakashifu....nimeanza na haya ya kwanza kwa kubeza hoja mfu za akina Nape na Bulembo.

Nipo huku kijijini na kwa nature ya kazi yangu nakutana na watu wengi....Nguvu ya Magifuli sio rahisi kuizima! Ukweli umeanza kuonekana!
 
Sawa tumekusikia Bashiru!

Wewe ndio ulisema utatumia dola kushinda uchaguzi ! Usafi wako upo wapi sasa?

Bora ungesema hakuna uchaguzi maana mshindi anajulikana!

Yaani kuhusu ujinga ule uliokubuhu October 28 mwaka jana Polepole na wenzio hamuwezi kujivua laana hiyo itawatafuna .
 
''Ukizungumzia watu walio uvuruga umoja wa wazazi ni Mzee Bulembo na wengine, ukampeni meneja wake kwa Mzee Magufuli aliununua kwa pesa nyingi Ili kuficha uchafu wake'' ni kauli ya mwana ccm kindaki ndaki ambae alikuwa kwenye team iliyokwenda kuchunguza na kurudisha Mali A ccm."

""Sasa Magufuli katika uhai wake hakupenda kabsa kukorofishana na Bulembo kwa sababu alipewa taarifa nyeti jinsi alivyonunua nafasi ya ukampeini meneja Ili kujiweka karibu na Waridi, na hata baada ya uchaguzi wapo walio mtaka Magufuli ampe Ubalozi Bulembo ok la Magufuli alikataa kwa sababu alijua kabisa sio msafi," Alichokifanya mwendazake ni kumpa nafasi ya ubunge tu."

"Na pia Ili hasipotee alimpa na maanae nafasi,ya ubunge tatzo likatokea Binti ake akaingia bungeni akaishia kuwa mtafunwaji na wapinzani akiweko zitto kabwe Mzee magu akauzika."

"Sasahivi Bulembo anajitokeza kumnanga Bashiru kwa kosa gani? Ni kweli tulimfata arudishe shule aliyojiuzia yeye na wenzake, na hakujibu alivyosema kama ana ushaidi autoe hapa haache porojo zake"

"Sasa ninakwambia Mwandishi, yeye anadhani kifo Cha Magufuli basi ndo wanarudi barabarani anajindangaya yeye na wenzake, wanajidanganya. Nchii sio chama pekee tulipokuwa tumefikishwa na Mzee Magufuli wenye nchi walishajua ukweli ni upi."

"Bulembo na genge lake, wakina Nape, Makamba, na wazee baadhi wanajidanganya, wewe uoni hujuma ya Makamba kupitia Tanesco? Huoni maneno ya mwiguru dhidi ya deni la Taifa? Hivi Magufuli alikopeshwaje na watu alio watusi kira siku? Hizo ni ujuma!"

"Hivi wakimkopeshaje wakati haendi kwao?mawaziri wenyewe walisafiri under permit yake, kama ni kweli alikopa watuoneshe mikataba ya mikopo aliyoisaini mbona Yao wanaonesha watuoneshe aliyosaini Haina tofauti na ya kwao wanayosaini. Watuoneshe waache porojo"

"Mimi narudia labda nife, lakini nikiwa hai Bulembo hata kama sio leo katika utawala huu wa Samia wowote, ule Mali ambazo aliziuza enzi za uongozi wake atazitapika na angekuwepo mwendazake Bulembo usingemsikia kamwe."

''Bulembo sio wa kuongea,ni kibaka kama vibaka wengine, mtoto wa mjini Sanaa mhaya yule nashangaa hata Magufuli ubunge alimpa wa Nini ilihalii akijua ni miongoni mwa mafisadi Bapa''

''Sasa Mimi nasema akiendelea kumnga Bashiru Cha Moto atakipata'

Ili andiko sio maneno ya sifi leo ni maneno ya mwanaccm kindaki ndaki aliyekuwepo kwenye kamati ya uchunguzi wa Mali za ccm, naomba kuwakilisha.
mtifuao ni mkali kwelikweli, soon waganga wataanza kuendesha Mavieti maana wateja ndo haoooooooo wanajongea!!
 
Tunasubiri majina ya wabunge na viongozi walionunuliwa na Polepole kama walivyotuhaidi "Wahuni"

Jiwe alikuwa master Mind asikwambie mtu, taarifa ya waliotafuna Mali za chama ipo bado mbichi...ajabu wenye softcopy na hard copy sio "wenye chama" ni watu wa kawaida ambao wanaipenda Tanzania, mashambulizi dhidi ya Bashiru ni ile kamati ya uchunguzi wa Mali za chama!

Watu wamekopea mikopo benki, wengine wamejenga vitega uchumi humo, nk na hao wanahasira Sana wapo tayari kwa lolote, yaani wao chama kife au kibaki mradi walindwe dhidi ya wizi wao basi,
Master mind? Wa wizi?
 
''Ukizungumzia watu walio uvuruga umoja wa wazazi ni Mzee Bulembo na wengine, ukampeni meneja wake kwa Mzee Magufuli aliununua kwa pesa nyingi Ili kuficha uchafu wake'' ni kauli ya mwana ccm kindaki ndaki ambae alikuwa kwenye team iliyokwenda kuchunguza na kurudisha Mali A ccm."

""Sasa Magufuli katika uhai wake hakupenda kabsa kukorofishana na Bulembo kwa sababu alipewa taarifa nyeti jinsi alivyonunua nafasi ya ukampeini meneja Ili kujiweka karibu na Waridi, na hata baada ya uchaguzi wapo walio mtaka Magufuli ampe Ubalozi Bulembo ok la Magufuli alikataa kwa sababu alijua kabisa sio msafi," Alichokifanya mwendazake ni kumpa nafasi ya ubunge tu."

"Na pia Ili hasipotee alimpa na maanae nafasi,ya ubunge tatzo likatokea Binti ake akaingia bungeni akaishia kuwa mtafunwaji na wapinzani akiweko zitto kabwe Mzee magu akauzika."

"Sasahivi Bulembo anajitokeza kumnanga Bashiru kwa kosa gani? Ni kweli tulimfata arudishe shule aliyojiuzia yeye na wenzake, na hakujibu alivyosema kama ana ushaidi autoe hapa haache porojo zake"

"Sasa ninakwambia Mwandishi, yeye anadhani kifo Cha Magufuli basi ndo wanarudi barabarani anajindangaya yeye na wenzake, wanajidanganya. Nchii sio chama pekee tulipokuwa tumefikishwa na Mzee Magufuli wenye nchi walishajua ukweli ni upi."

"Bulembo na genge lake, wakina Nape, Makamba, na wazee baadhi wanajidanganya, wewe uoni hujuma ya Makamba kupitia Tanesco? Huoni maneno ya mwiguru dhidi ya deni la Taifa? Hivi Magufuli alikopeshwaje na watu alio watusi kira siku? Hizo ni ujuma!"

"Hivi wakimkopeshaje wakati haendi kwao?mawaziri wenyewe walisafiri under permit yake, kama ni kweli alikopa watuoneshe mikataba ya mikopo aliyoisaini mbona Yao wanaonesha watuoneshe aliyosaini Haina tofauti na ya kwao wanayosaini. Watuoneshe waache porojo"

"Mimi narudia labda nife, lakini nikiwa hai Bulembo hata kama sio leo katika utawala huu wa Samia wowote, ule Mali ambazo aliziuza enzi za uongozi wake atazitapika na angekuwepo mwendazake Bulembo usingemsikia kamwe."

''Bulembo sio wa kuongea,ni kibaka kama vibaka wengine, mtoto wa mjini Sanaa mhaya yule nashangaa hata Magufuli ubunge alimpa wa Nini ilihalii akijua ni miongoni mwa mafisadi Bapa''

''Sasa Mimi nasema akiendelea kumnga Bashiru Cha Moto atakipata'

Ili andiko sio maneno ya sifi leo ni maneno ya mwanaccm kindaki ndaki aliyekuwepo kwenye kamati ya uchunguzi wa Mali za ccm, naomba kuwakilisha.
Tatizo umechanganya facts na uongo
 
ccm ni janga la taifa, ukiutizama huu mtifuano wa makundi utagundua unalenga maslahi yao binafsi wala si maslahi ya taifa, tuwapuuze hawa wapuuzi maana wameshindwa kuiletea maendeleo nchi zaidi ya kupigania maslahi yao.
 
"Bulembo na genge lake, wakina Nape, Makamba, na wazee baadhi wanajidanganya, wewe uoni hujuma ya Makamba kupitia Tanesco? Huoni maneno ya mwiguru dhidi ya deni la Taifa? Hivi Magufuli alikopeshwaje na watu alio watusi kira siku? Hizo ni ujuma!"
Hii issue imekaa vibaya sana na imeshiba ukweli mtupu kuhusu hawa watajwa, Makamba sio mtu wa kumwamini hata mara moja, mwigulu ni mtu mikakati 'OVU' na ya kujikomba (mnajua alipokuwa mambo ya ndani)
 
Sawa tumekusikia Bashiru!

Wewe ndio ulisema utatumia dola kushinda uchaguzi ! Usafi wako upo wapi sasa?

Bora ungesema hakuna uchaguzi maana mshindi anajulikana!

Yaani kuhusu ujinga ule uliokubuhu October 28 mwaka jana Polepole na wenzio hamuwezi kujivua laana hiyo itawatafuna .
Ajabu ni kwamba hadi leo hii hakuna kesi mahakamani ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa 2020...maana yake nini? Hakuna alaiyeibiwa kura zake hata Kessy na Hawa Ghasia!
 
Back
Top Bottom