Msamiati wa 'Mabeberu' umefia wapi?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,821
2,000
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,887

Jee mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Baada ya miaka 60 ya Uhuru bado kuna viongozi wanatumia propaganda rahisi za ubeberu. Huku wakiwakubalia mikataba mibovu . Awamu ya tano ilikuwa awamu ya giza. Mungu ni fundi na anaipenda nchi hii
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,261
2,000
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.
Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?
Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.
Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.
Jee mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Lile lilikuwa neno lililotumika kishamba na mshamba mmoja aliyekuwa hajui dunia ikoje wala siasa zake zikoje! Na alilitumia kuwachota akili wapuuzi wa kitanzania walioaminishwa kuwa ni wanyonge na wakafurahia kuitwa wanyonge.

Yule jamaa bora Mungu amemchukua, alikuwa fedhuli sana aliyewa brainwash sana watu!
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
34,023
2,000
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Mabeberu ni msamiati ulioibuka miaka ya kusaka uhuru na sio awamu ya tano.acha kupotosha umma
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,821
2,000
Kushindana na beberu kunahitaji akili kubwa, kashindwa Mwalimu sembuse yule kilaza meendazake
Mwalimu hakuwa anashindana na "mabeberu" kwa namna ile ya mwenda zake na ndio maana alikuwa Rafiki mkubwa sana wa Wakubwa wa Magharibi na Mashariki pia.
Viongozi kama Kennedy, Carter, Yule wa Ujerumani, kule China ya Mao na Cho en Lai, Urusi nk walimheshimu na kumsikiliza akiongea jambo. Na lenye ukweli aliwasemanga hadharani sio kwa kificho wala woga.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,821
2,000
Mabeberu ni msamiati ulioibuka miaka ya kusaka uhuru na sio awamu ya tano.acha kupotosha umma
Sawa, jee matumizi yalifanana? Walivyotumia wasaka uhuru na hawa wa awamu ya tano ilikuwa inafanana?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
169,940
2,000
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU.

Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na majina/maneno yao?

Sasa hakuna mahali linasemwa tena jina hilo wala wale waliitwa vibaraka wa mabeberu hawaitwi tena.

Sio majukwaani, bungeni wala vikao vya CCM huwezi kusikia maneno hayo tena, MABEBERU.

Je, Mabeberu wamekufa kama alivyo ondoka aliyekuwa anapenda kuwaita?
Ni mengi hayapo tena
 
Elli M

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,112

Wameufunfia kwenye kibanda umiza huko chattel
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,690

Alikufa nalo mwendazake na sasa wafuasi wake wamebatizwa na mhuri wa moto.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,821
2,000
Wameufunfia kwenye kibanda umiza huko chattel
Unamaanisha humu?
20210515_074744.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom