Rais Samia aitoa CCM Dodoma ikiwa Moja, Imara,yenye Mshikamano

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,231
9,668
Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani, upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni uchaguzi uliokuwa umeisimamisha nchi kimijadala, Ni uchaguzi ambao uliteka vyombo vyote vya Habari,Ni uchaguzi ambao uliwateka nyara wapinzani na kujikuta macho na masikio yao yakielekezwa Dodoma,Ni uchaguzi ambao ulitawaliwa na kijani na njano kila Kona ya nchi ,mitandao ya kijamii vyombo vya habari na maeneo yote yenye mkusanyiko wa watu.

Ni uchaguzi uliodhihirisha nguvu na ushawishi iliyonayo CCM,Ni uchaguzi uliyoonyesha CCM ndio nchi yenyewe,Ni uchaguzi uliodhihirisha uimara umadhubuti na ushupavu wa CCm, Ni uchaguzi uliodhihirisha bila CCM imara lazima nchi yetu itayumba na kupoteza muelekeo,Ni uchaguzi ulionyeshaa uhodari wa CCm na Wana CCM, Ni uchaguzi uliyoonyesha Hakuna awezaye kuitikisa CCM,Ni uchaguzi uliyoonyesha namna mfumo wa CCm ulivyo imara na madhubuti,Ni uchaguzi uliodhihirisha kuwa CCM Ni kubwa kuliko mtu binafsi na maslahi yake,Ni uchaguzi uliyoonyesha ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.

Uchaguzi ndani ya CCM umemalizika huki ukikiacha chama kikiwa imara Sana,kikiwa na malengo ya aina moja,malengo ya kuwatumikia watanzania kwa utumishi uliotukuka na kugusa maisha yao,Ni uchaguzi ambao kila kiongozi aliyepewa dhamani ya uongozi anatambua kazi iliyopo mbele yake Ni kwenda kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM katika kuhakikisha watanzania wanapata huduma iliyobora kabisa.

Wana CCM wamerejea makwao wakiwa na amani na upendo ,wote wameridhishwa na matokeo yaliyotokea,wote wameridhishwa na washindi waliopatikana ,wote wamekubaliana na viongozi waliochaguliwa,wote wameridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM,wote kwa kauli moja wamekubaliana kwenda kuimarisha mshikamano wa Wana CCM katika kuijenga CCM iliyo imara itakayo kuwa na ushupavu na nguvu ya kusimamia utekelezaji wa ilani yake.

Wote wana hamasa na morali ya kufanya kazi kwa kushirikiana na serikali yao, wote wanatambua kuwa watanzania ndio mabosi wao na wenye nchi wanaopaswa kusikilizwa ,kunyenyekewa na kutumikiwa,wote wametambua kuwa Uchaguzi ujao utapimwa na wananchi kwa ubora wa kazi iliyofanyika wakati huu,Hivyo wote wapo Tayari kwa kazi kwa kushirikiana na serikali yao Inayoongozwa na Dr Samia,Hakuna anayetaka makundi Wala migogoro ndani ya chama kila mtu amehubiri umoja na mshikamano ndani ya chama,na kila mtu ametambua kuwa tunajenga nyumba moja hivyo haina haja ya kugombea Fito.

Hongera Dkt. Samia suluhu Hassani kwa kukiongoza chama chetu kutoka Dodoma salama na imara zaidi ya awali. Uchaguzi Umekwisha ,Sasa Ni muda wa kazi kuwatumikia watanzania.

Kazi Iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
 
Mwamba umeambulia patupu tena.

Ila CCM wana roho mbaya sana, maana unajitoa ufahamu lakini hata kutambua uwepo wako kwa kukupa ujumbe wa shina tu wanashindwa. Maskini ya Mungu mpaka namba unaweka lakini wapi.

Nahisi ni wakati muafaka sasa ukawe hata mganga wa kienyeji feki. Huko utapata maboya wakukupa hata kuku wa kafara upate kubadili kitoweo maana ni dhahiri CCM hawakutaki.

Mimi najitolea machapisho ya kukutangaza kama mganga wa kutibu nguvu za kiume na kusafisha nyota. Naweka jina na namba yako halafu nabandika mji mzima.
 
Kwani nilikuwa nagombea nafasi ipi ambayo unasema sijapita au upo usingizini
 
Kuna watu wapuuzi sana na kisha wanalazimisha upuuzi wao uwe kitu cha msingi.
 
Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani,upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni uchaguzi uliokuwa umeisimamisha nchi kimijadala,Ni uchaguzi ambao uliteka vyombo vyote vya Habari,Ni uchaguzi ambao uliwateka nyara wapinzani na kujikuta macho na masikio yao yakielekezwa Dodoma,Ni uchaguzi ambao ulitawaliwa na kijani na njano kila Kona ya nchi ,mitandao ya kijamii vyombo vya habari na maeneo yote yenye mkusanyiko wa watu.

Ni uchaguzi uliodhihirisha nguvu na ushawishi iliyonayo CCM,Ni uchaguzi uliyoonyesha CCM ndio nchi yenyewe,Ni uchaguzi uliodhihirisha uimara umadhubuti na ushupavu wa CCm, Ni uchaguzi uliodhihirisha bila CCM imara lazima nchi yetu itayumba na kupoteza muelekeo,Ni uchaguzi ulionyeshaa uhodari wa CCm na Wana CCM, Ni uchaguzi uliyoonyesha Hakuna awezaye kuitikisa CCM,Ni uchaguzi uliyoonyesha namna mfumo wa CCm ulivyo imara na madhubuti,Ni uchaguzi uliodhihirisha kuwa CCM Ni kubwa kuliko mtu binafsi na maslahi yake,Ni uchaguzi uliyoonyesha ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.

Uchaguzi ndani ya CCM umemalizika huki ukikiacha chama kikiwa imara Sana,kikiwa na malengo ya aina moja,malengo ya kuwatumikia watanzania kwa utumishi uliotukuka na kugusa maisha yao,Ni uchaguzi ambao kila kiongozi aliyepewa dhamani ya uongozi anatambua kazi iliyopo mbele yake Ni kwenda kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM katika kuhakikisha watanzania wanapata huduma iliyobora kabisa.

Wana CCM wamerejea makwao wakiwa na amani na upendo ,wote wameridhishwa na matokeo yaliyotokea,wote wameridhishwa na washindi waliopatikana ,wote wamekubaliana na viongozi waliochaguliwa,wote wameridhishwa na utekelezaji wa ilani ya CCM,wote kwa kauli moja wamekubaliana kwenda kuimarisha mshikamano wa Wana CCM katika kuijenga CCM iliyo imara itakayo kuwa na ushupavu na nguvu ya kusimamia utekelezaji wa ilani yake.

Wote wana hamasa na morali ya kufanya kazi kwa kushirikiana na serikali yao, wote wanatambua kuwa watanzania ndio mabosi wao na wenye nchi wanaopaswa kusikilizwa ,kunyenyekewa na kutumikiwa,wote wametambua kuwa Uchaguzi ujao utapimwa na wananchi kwa ubora wa kazi iliyofanyika wakati huu,Hivyo wote wapo Tayari kwa kazi kwa kushirikiana na serikali yao Inayoongozwa na Dr Samia,Hakuna anayetaka makundi Wala migogoro ndani ya chama kila mtu amehubiri umoja na mshikamano ndani ya chama,na kila mtu ametambua kuwa tunajenga nyumba moja hivyo haina haja ya kugombea Fito.

Hongera Dr Samia suluhu Hassani kwa kukiongoza chama chetu kutoka Dodoma salama na imara zaidi ya awali. Uchaguzi Umekwisha ,Sasa Ni muda wa kazi kuwatumikia watanzania.

Kazi Iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627

Mwenzako msukuma kaumbuliwa juzi kwenye mkutano, mambo ya uchawa kama wako

Mama hataki mambo ya uchawa na masifa ya kijinga kwake
 
Uliifaa upewe ukatibu mwenezi wa chama. Unafaa Sana maana unajitolea kweli hata Kama unaongea pumba.
 
Njaa ...hii nguvu ya kuandika ungeitumia kulima Maboga
 
Vipi kuhusu deni la taifa Trilioni 91. Ongelea kidogo msemaji.
 
Back
Top Bottom