Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Tupo mwishoni kuumaliza mwaka,Huku kila mmoja wetu akimuomba Mwenyezi Mungu kumlimda kumpigania na kumvusha salama na hatimaye kuweza kuuona mwaka mpya, Ni ndoto ya kila mtu kutaka...
0 Reactions
2 Replies
433 Views
Ndugu mwenyekiti, kipi kinawavuruga hapo meza kuu? Ni kura zilizopigwa jana? Kama ni hizo mbona wewe na wajumbe mmepata kura za kishindo? Naomba nikueleze ulipoteleza leo kwenye hotuba yako ya...
23 Reactions
60 Replies
6K Views
Ni jambo lililo dhahiri nchi yetu ilipitia kwenye utawala mbaya wa shetani kipindi cha awamu ya 5. Ni katika kipindi hiki, kwa mara ya kwanza Tanzania tulishuhudia watu wanaowakosoa watawala ba...
0 Reactions
9 Replies
622 Views
Leo majira ya saa sita mchana Das wa Bunda akiwa na kamati yake na polisi kibao kwenda kwenye kijiji cha Nyatwali jirani kabisa na Ndabaka gate, aliwaita wanakjiji hao leo hii na kuwa na kikao nao...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kutenga kiasi cha dola za Marekani bilioni 1 zitakazotolewa kwa njia ya mkopo nafuu kwa Tanzania kupitia Mfuko wa...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Wengi wanaopiga kelele wanakupenda sana. Wachache wanaokusifia kwa kila jambo wanakupoteza na wanakuingiza mkenge shutuka. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu watu wengi wanataka yafuatayo!! Umeme...
18 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimefurahishwa sana na hali ya kisiasa ya Tanzania leo, tuna furaha tele. Sasa hivi umeme haupatikani tulivyo zoea . Chakula hakuna na kinapo patikana bei iko juu mnoo kuliko tulivyo zoea, hii...
0 Reactions
2 Replies
414 Views
Ukiwasikiliza watu wanao mkosoa MAKAMBA utajua kuwa kwanza ni wanafiki na pili ni watu wanao tengeneza fikra zao kuhisi kuwa MAKAMBA anamzungumzia mtu fulani ambaye yeye hakumtaja. Je kwa mujibu...
9 Reactions
61 Replies
4K Views
Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM. Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Hiyo nchi kusini mwa janga la sahara kwa sasa kila kitu ni shaghala bagala , Mikataba ya kilaghai kwa kisingizio cha kwenda na teknolojia imeshamiri,hili linafanyika kwa kasi ya ajabu sana, Na...
61 Reactions
183 Replies
14K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , kwenye uchaguzi wa CCM uliofanyika huko Dodoma, Waziri Simbachawene ni miongoni mwa Antonin Panenka waliokataliwa kuingia kwenye Halmashauri ya chama hicho ...
13 Reactions
34 Replies
4K Views
CCM ni chama kikubwa hapa Africa na dunia nzima. Bahati nimezunguka mahala pengi hapa duniani. Ulikiwa ukienda Botswana, Zimbabwe au hata South Afriaca ulikuwa ukikutana na raia wa huko lazima...
4 Reactions
18 Replies
918 Views
Dodoma. Siku moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitisha marekebisho ya katiba ambayo imerudisha mfumo wa kofia mbili, wadau na wanasiasa wametofautiana wakitaka liangaliwe upya. Katika...
0 Reactions
5 Replies
773 Views
Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani. Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia...
50 Reactions
249 Replies
16K Views
Kwanza kabisa, naweka wazi ya kwamba mimi ni mpenzi wa chama cha mapinduzi. Pia ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za nchi hii ,za chama cha mapinduzi na za vyama mbadala vya siasa. Nimeiona niliweke...
27 Reactions
190 Replies
11K Views
Inaelekea serikali ya rais Samia itavunja na kupangua Baraza la Mawaziri Kwa mjibu wa Samia kuna watendaji ni wabovu ndani ya Serikali yake. NB: Watu wataanza kwenda kwa sangoma 😀😀😀!
17 Reactions
176 Replies
13K Views
Taratibu za manunuzi zimefuatwa? Je kama zimefuatwa mbona taifa halikuwekwa wazi? 👇
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nakumbuka ilifikia mahala tuliona aibu kuvaa sare za hiki chama ,chama kilijaa wapigaji waliojimilikisha raslimali za chama chetu, Chama kiliishi kwa kutembeza bakuri kwa watanzania wenzetu wenye...
21 Reactions
108 Replies
7K Views
Iringa, Tanzania KONGAMANO KUBWA LA WEWE MWANA CHADEMA 10 /12/2022 Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa kupitia CHADEMA Peter Msigwa anawakaribisha Kongamano la wewe mwana CHADEMA fika Gangilonga mjini...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani. Ni hivi wenye nguvu ndani ya...
22 Reactions
84 Replies
10K Views
Back
Top Bottom