John Heche: Walio Madarakani Wanatengeneza umasikini, Deni la taifa lafika Trilioni 94. Bandari ya Dar yazidiwa na Mombasa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao.

Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni baadhi ya viongozi waliotoa salamu ambapo wameshauri serikali kutatua changamoto za wananchi ikiwemo Pembejeo za Wananchi.

John Heche akihutubia kwenye Kongamano la CHADEMA Mkoa wa Iringa miaka 61 ya Uhuru, haya ndo kayasema:

*Hatuwezi kutatua matatizo tuliyonayo kwa kujidanganya kwamba hayapo.

*Tatizo kubwa la Umasikini sio kwa sababu sisi hatuna Rasilimali. Umasikini wa Tanzania ni Umasikini wa Kutengenezwa na Viongozi wa chama cha Mapinduzi

* Tanzania tuna kila kitu. Sisi ni nchi ambayo Mungu ametujalia bandari.

*Bandari ndo Mpango Mkuu wa Mizigo wa biashara. Wakati wa wakoloni, Miji iliyokuwa ya kwanza ilikuwa miji kando kando ya bahari

*Tanzania Mungu ametupa Bandari 5. Bandari ya Dar, Tanga, Mtwara, Bagamoyo, Bandari ya Ziwa Victoria inaunganisha Kenya Uganda na Tanzania. Mungu akupe nini?

* Tuna Madini ya Nickel na uranium, Tuna Gesi Makaa ya Mawe, Misitu, dhahabu, Tanzanite nk

*Nchi yetu haina hata kipande cha jangwa. Tanzania ukubwa wake ni sawa uunganishe Kenya, Uganda Rwanda na Burundi . Tuna mbuga za Wanyama

*Mungu ni Mtanzania.

* Leo wakisema Mungu anakuja na kuingilio ni laki moja, wote wataenda Motoni.

*Tumejenga Bomba la Tazama kutoka Dar hadi Zambia lakini Dar eti haina maji wakati maji yaliyopo chini Kimbiji ni ¾ ya maji ya Ziwa Victoria. Tungejenga bomba la Maji tungesambaza Nchi nzima

* Tanzania tunaagiza ngano 90%. Tunaagiza ngano kutoka Jangwani Saudi Arabia

* Wanaona Watanzania wakipata hela wanataka hela wawe nazo wakina Ridhiwani Kikwete na Janwari Makamba wengine wawe ombaomba sababu ya roho mbaya zao.

*Kagema alisema "Akipewa bandari ya Dar peke yake hatochimba madini bali atakuwa na uwezo wa kuitumia afrika yote". Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na bandari. Kupitisha gari bandarini tunalipwa. Gari kaagiza mtu wa Kongo na kanunua mwenyewe lakini anatulipa.

* Bandari ya Tanzania inapitisha Mzigo Tani Milioni 17 wakati Kenya bandari ya Mombasa wanapitisha Tani Milioni 34. Hii ni kwa Mwaka 2020/2021.

*Hapa ninapotaka kuzungumza bandari yetu haifanyi kazi kwa ufanisi nimehongwa na nani? Mimi nasema nyie Mlioko na wengine wote Mafisadi, na CCM inayowasimamia, imeshindwa kusimamia bandari ilete pesa kwenye Nchi yetu ili tusichangishe watu kwenye matozo tutumie hizo pesa za bandari kuwapa Wananchi wetu huduma. Kusema hivyo nimehongwa na nani?

*Yaani leo rais Samia Suluhu hawezi kuendesha Nchi hadi achangishe kitu kinaitwa TOZO.

*Nawaambia jamani, Tumieni bandari Vizuri ili msitoze Tozo. Wanasema nimehongwa, mimi na wao nani kahongwa? Wanaoteta huo ujinga na mimi ninayesema hamna uwezo wa kuongoza nchi. Nani amehongwa?

*Serikali ya CCM na Watu wengine waliopo CCM wamefika mwisho wa Kufikiri. Leo hatuna maji miaka 61 ya Uhuru. Tunajadili maji tena sio Vijijini bali Mjini Dar es Salaam, je Vijijini hali ipoje? Tumefikishwa hapa na kiwango cha chini cha fikra ambacho kimeshindwa kusimamia Mungu alichotupa.

* Deni la Taifa limefika Trilioni 91 kutoka Trilioni 71 alizoacha Hayati Magufuli. Mwigulu jana kakopa Korea Trilioni 2.4 hivyo sasa tunaenda Trilioni 94.

* Kila mwezi Tanzania inalipa Bilioni 800 kulipa Mkopo. Mapato ni shilingi ngapi?
1670737596348.png
1670737626287.png
1670737645624.png
1670737866405.png
1670738210217.png

Rose Mayemba Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe
 
Sasa naanza kuona ubaya wa yale maneno "mikopo ya masharti nafuu", kumbe yanadumaza akili sana, na kutufanya tuendelee kuwa tegemezi bila kujua tunazidi kukuza deni la taifa.

Hawa viongozi wetu sasa wanatakiwa kutafuta njia mpya ya kukusanya kodi kule ambapo watavuna nyingi, ili kuzuia hilo deni la taifa lisizidi kuongezeka, kuendelea kumkamua mtanzania kwenye tozo imeshaonekana haitoshelezi mahitaji.

Japo haijulikani hizo tozo huishia wapi, maana siku hizi zinakusanywa kimya kimya tu, hatuambiwi kiasi kilichopatikana, wala matumizi yake yatakuwa yapi, siku hizi mawaziri wamegeuka kama marais wa wizara zao, wanajiamulia mambo yao na hakuna wakuwauliza.
 
Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao.

Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni baadhi ya viongozi waliotoa salamu ambapo wameshauri serikali kutatua changamoto za wananchi ikiwemo Pembejeo za Wananchi.

John Heche akihutubia kwenye Kongamano la CHADEMA Mkoa wa Iringa miaka 61 ya Uhuru, haya ndo kayasema:

*Hatuwezi kutatua matatizo tuliyonayo kwa kujidanganya kwamba hayapo.

*Tatizo kubwa la Umasikini sio kwa sababu sisi hatuna Rasilimali. Umasikini wa Tanzania ni Umasikini wa Kutengenezwa na Viongozi wa chama cha Mapinduzi

* Tanzania tuna kila kitu. Sisi ni nchi ambayo Mungu ametujalia bandari.

*Bandari ndo Mpango Mkuu wa Mizigo wa biashara. Wakati wa wakoloni, Miji iliyokuwa ya kwanza ilikuwa miji kando kando ya bahari

*Tanzania Mungu ametupa Bandari 5. Bandari ya Dar, Tanga, Mtwara, Bagamoyo, Bandari ya Ziwa Victoria inaunganisha Kenya Uganda na Tanzania. Mungu akupe nini?

* Tuna Madini ya Nickel na uranium, Tuna Gesi Makaa ya Mawe, Misitu, dhahabu, Tanzanite nk

*Nchi yetu haina hata kipande cha jangwa. Tanzania ukubwa wake ni sawa uunganishe Kenya, Uganda Rwanda na Burundi . Tuna mbuga za Wanyama

*Mungu ni Mtanzania.

* Leo wakisema Mungu anakuja na kuingilio ni laki moja, wote wataenda Motoni.

*Tumejenga Bomba la Tazama kutoka Dar hadi Zambia lakini Dar eti haina maji wakati maji yaliyopo chini Kimbiji ni ¾ ya maji ya Ziwa Victoria. Tungejenga bomba la Maji tungesambaza Nchi nzima

* Tanzania tunaagiza ngano 90%. Tunaagiza ngano kutoka Jangwani Saudi Arabia

* Wanaona Watanzania wakipata hela wanataka hela wawe nazo wakina Ridhiwani Kikwete na Janwari Makamba wengine wawe ombaomba sababu ya roho mbaya zao.

*Kagema alisema "Akipewa bandari ya Dar peke yake hatochimba madini bali atakuwa na uwezo wa kuitumia afrika yote". Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na bandari. Kupitisha gari bandarini tunalipwa. Gari kaagiza mtu wa Kongo na kanunua mwenyewe lakini anatulipa.

* Bandari ya Tanzania inapitisha Mzigo Tani Milioni 17 wakati Kenya bandari ya Mombasa wanapitisha Tani Milioni 34. Hii ni kwa Mwaka 2020/2021.

*Hapa ninapotaka kuzungumza bandari yetu haifanyi kazi kwa ufanisi nimehongwa na nani? Mimi nasema nyie Mlioko na wengine wote Mafisadi, na CCM inayowasimamia, imeshindwa kusimamia bandari ilete pesa kwenye Nchi yetu ili tusichangishe watu kwenye matozo tutumie hizo pesa za bandari kuwapa Wananchi wetu huduma. Kusema hivyo nimehongwa na nani?

*Yaani leo rais Samia Suluhu hawezi kuendesha Nchi hadi achangishe kitu kinaitwa TOZO.

*Nawaambia jamani, Tumieni bandari Vizuri ili msitoze Tozo. Wanasema nimehongwa, mimi na wao nani kahongwa? Wanaoteta huo ujinga na mimi ninayesema hamna uwezo wa kuongoza nchi. Nani amehongwa?

*Serikali ya CCM na Watu wengine waliopo CCM wamefika mwisho wa Kufikiri. Leo hatuna maji miaka 61 ya Uhuru. Tunajadili maji tena sio Vijijini bali Mjini Dar es Salaam, je Vijijini hali ipoje? Tumefikishwa hapa na kiwango cha chini cha fikra ambacho kimeshindwa kusimamia Mungu alichotupa.

* Deni la Taifa limefika Trilioni 91 kutoka Trilioni 71 alizoacha Hayati Magufuli. Mwigulu jana kakopa Korea Trilioni 2.4 hivyo sasa tunaenda Trilioni 94.

* Kila mwezi Tanzania inalipa Bilioni 800 kulipa Mkopo. Mapato ni shilingi ngapi?
View attachment 2442561View attachment 2442563View attachment 2442564View attachment 2442571View attachment 2442579
Rose Mayemba Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe
Msisahau pia nyinyi mlikuwa mnapiga kelele na kumlaumu Magufuli kuwa ananunua ndege kwa cash badala ya kununua kwa mkopo! Unafiki ulioje!
 
Ujinga tuu labda mtawakamata viazi wenzenu ndio mkawaeleze kwamba Deni la Taifa linaleta umaskini.
 
Ccm imelaaniwa haiwezi leta maendeleo. Bila kuipiga chini ccm hatutoboi. Bora watawale CHAUMA tutaendelea ila siyo ccm. Hawa ni mafisi wabinafsi kuliko kitimoto
 
Tukubali tu Chadema ndo mkombozi wa hili Taifa

The others utilise matumbo yao na familia zao na marafiki zao na UJINGA ndo mtaji wao

RETHINK
Tatizo lao maneno mengi utendaji sifuri. Haiwezena miaka yote ofisi ya chama makao makuu bado wamepanga licha ya kupata ruzuku zaidi ya bilioni tatu kila mwaka miaka ya nyuma.
 
Msisahau pia nyinyi mlikuwa mnapiga kelele na kumlaumu Magufuli kuwa ananunua ndege kwa cash badala ya kununua kwa mkopo! Unafiki ulioje!
Hilo ndilo tatizo la Chadema hawajui wanasimamia nini!!
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Hii nchi hata ningepewa mimi niongoze, bila hata ya msaada wa Mawaziri, nisingemlipisha mtu tozo, na bado maendeleo yangepatikana na kuonekana kwa watu.

Tuna utajiri mkubwa wa kila kitu alioutengeneza Mungu. Lakini tuna umaskini mkubwa uliotengenezwa na viongozi wetu. Umaskini huu mkubwa, msingi wake mkubwa ni vichwani na mioyoni mwa viongozi wetu. Wanatumia muda mwingi kufikiria namna ya kubakia madarakani iwe kwa haki au dhuluma, kwa shari au amani, kuliko kufikiria namna ya kuleta maendeleo ya nchi na ustawi wa watu.
 
Back
Top Bottom