CHADEMA hawana Ruzuku lakini Viongozi wao Wote wako ziarani Ulaya, Fedha wanapata wapi?

Mambo yasiwe mengi naomba ufafanuzi tu Viongozi wa Chadema Fedha za kuzunguka huko Duniani na kwenye kumbi za kuangalia World Cup wanaotoa.wapi?

Ikumbukwe Tundu Lisu anashindwa kurudi nchini kwa sababu hana nauli na aliomba msaada kwa Chama ikashindikana

Mungu ni mwema wakati wote
Chama Cha Mambuzi mna mambo ya kipumbavu
 
Mambo yasiwe mengi naomba ufafanuzi tu Viongozi wa Chadema Fedha za kuzunguka huko Duniani na kwenye kumbi za kuangalia World Cup wanaotoa.wapi?

Ikumbukwe Tundu Lisu anashindwa kurudi nchini kwa sababu hana nauli na aliomba msaada kwa Chama ikashindikana

Mungu ni mwema wakati wote
Hela inatoka Chato.
 
Mbuzi mmoja alihoji!
 
Fedha wanazipata huko wanakozunguka mkuu

Mizunguko yao ni kwa hisani ya watu wa ulaya
 
Mambo yasiwe mengi naomba ufafanuzi tu Viongozi wa Chadema Fedha za kuzunguka huko Duniani na kwenye kumbi za kuangalia World Cup wanaotoa.wapi?

Ikumbukwe Tundu Lisu anashindwa kurudi nchini kwa sababu hana nauli na aliomba msaada kwa Chama ikashindikana

Mungu ni mwema wakati wote
Wanakopa kama hawa wanavyokopa
20221210_205630.jpg
 
Mambo yasiwe mengi naomba ufafanuzi tu Viongozi wa Chadema Fedha za kuzunguka huko Duniani na kwenye kumbi za kuangalia World Cup wanaotoa.wapi?

Ikumbukwe Tundu Lisu anashindwa kurudi nchini kwa sababu hana nauli na aliomba msaada kwa Chama ikashindikana

Mungu ni mwema wakati wote
Watu wema hawafi ila wabaya. Kauli ya Mzee hiyo mbele ya wajane.
 
Mambo yasiwe mengi naomba ufafanuzi tu Viongozi wa Chadema Fedha za kuzunguka huko Duniani na kwenye kumbi za kuangalia World Cup wanaotoa.wapi?

Ikumbukwe Tundu Lisu anashindwa kurudi nchini kwa sababu hana nauli na aliomba msaada kwa Chama ikashindikana

Mungu ni mwema wakati wote
MLISEMA MAGUFULI ALIIIFUTA CHADEMA MBONA MNA HAHA KUIULIZIA?
 
Mambo yasiwe mengi naomba ufafanuzi tu Viongozi wa Chadema Fedha za kuzunguka huko Duniani na kwenye kumbi za kuangalia World Cup wanaotoa.wapi?

Ikumbukwe Tundu Lisu anashindwa kurudi nchini kwa sababu hana nauli na aliomba msaada kwa Chama ikashindikana

Mungu ni mwema wakati wote
Una akili finyu kuliko makalio yabata
 
Back
Top Bottom